Urusi kupeleka majeshi yake na silaha nzito nchini Cuba na Venezuela kama Marekani itaendelea na kujiingiza Ukraine

Urusi kupeleka majeshi yake na silaha nzito nchini Cuba na Venezuela kama Marekani itaendelea na kujiingiza Ukraine

Unaichulia poa Taiwan?uliza China echezea kichapo zaidi ya mara nne.
Embu acha uongo wewe.
Huo uwezo Taiwan autoe wapi was kuipiga China!?
Daily Taiwan na yule mama yao wanapeleka vilio UN wasaidiwe.
 
Kwa China hao India kila siku wanalia pale Kashmir wanajeshi wao wanapakuliwa tope tena wanakula kipondo Cha haja.
We Kama India anahangaishwa na Pakistan atamuweza China!?
Pia Japan kwasasa hana uwezo wa kumsumbua China kijeshi ataumia.
Sababu za Japan kutokuwa na jeshi imara zinaeleweka, kutokana na vitisho vya mara kwa mara kutoka China, kipindi cha mwisho cha Shinzo Abel ilibidi waweke pembeni baadhi vifungu vya katiba yao vilivyokuwa vinazuia ujengaji wa jeshi kubwa na vifaa vya Kisasa vya kijeshi, ni suala la muda tu.
India, Pakistan na China wote wana nuklia, wamekuwa na mapigano mipakani ila hakuna dalili ya kwenda kwenye full war, kila mmoja anajua mwenzake ana hatari gani.
 
Kaka hizo nchi tatu India,China na Pakistan nchi pekee inayoonewa ni India.
Wanajeshi wa India pale kashmir wanauliwa sana na Pakistan na kule mpakani na China wanauliwa sana kiasi mpk wazazi wa hao wanajeshi wanalaumu serikali
India kijeshi dhaifu sana.
 
Come again!!
Russia ni middle income courty!??

Hebu leta hiyo source yako uliyosoma hapa
Kaka acha uongo.
Russia ni middle upper income country.
We unafanya mchezo nchi kuwa ulimwengu wa kwanza!?
Russia haipo ktk first world countries.
 
Come again!!
Russia ni middle income courty!??

Hebu leta hiyo source yako uliyosoma hapa
Hiyo China ambayo inastahili kuingia first world imegoma kwasababu inataka ibakie kupewa punguzo la tarrifs inapo export vitu.
Maana ushuru inayolipa first world na middle income na low income zinatofautiana.
Ila kwasasa nchi ambayo inastahili China.

Screenshot_20220307-075542.png

Screenshot_20220307-075516.png
 
Huenda dunia ikarudi tulikotoka 1962,baada ya uoga wa Marekani dhidi ya USSR na kuamua kupeleka silaha za nyukilia nchini uturuki ili kuivizia USSR, nayo USSR haikua mvivu, ikapeleka silaha zake nzito nchini Cuba ili kuidhibiti Marekani.

Leo Tena Marekani na mpango wake wa kutaka kuikaribia Urusi Kijeshi Tena nje ya mlango wa Urusi yaani Ukraine,kwa kulazimisha Ukraine ijiunge na NATO ili iwe rahisi kuikabili Urusi pale itakapohitajika kufanya hivyo,nayo Urusi Tena sio mvivu, bali inafikiria kupeleka majeshi nchi jirani na Marekani Cuba na Venezuela ili iwe rahisi kuikabili Marekani pindi kitakaponuka huko Ukraine.

Ifahamike kwamba Urusi hawashindwi kufanya hivyo,"ukimwaga ugali namwaga mboga".

==========

Russia Suggests Military Deployment to Venezuela, Cuba if Tensions With U.S.​

Russia’s deputy foreign minister said talks with the U.S. over the security situation in Ukraine had stalled and suggested that Moscow could dispatch a military deployment to Venezuela and Cuba, as the Kremlin seeks to pressure Washington to meet its demands to halt Western military activity that Russia claims
It is normal., kama ukreain imewatoa mavi hadi sasa wataweza mziki NATO? ni yale yale majigambo tu, urusi saiv kadhalilika sana
 
Mkuu kasome some historia vizuri Kati ya hao washirika wa NATO na USA wao enzi za Hitler nani aliweza kumtwanga Hitler kwa Ulaya,kama sio Mrusi!

All in all USA anamuogopa mrusi na amejaribu miaka mingi kujaribu kuua uimara wake ikiwemo kuua dude la USSR Ila bado Moscow ni mbabe pekee dhidi ya USA.

USA peke yake hawezi kuingia vitani na Urusi.
Kasome historia vizuri, Vita ya pili ya Dunia Mrusi alitwangwa na Germany na Urusi nusu ilikuwa imeishatekwa na Hitler akishirikiana na Italy pamoja na Japani, Na Marekani alimaliza vita baada ya kupiga Hiroshima na Nagasaki,
 
ndio maana ujerumani na hangury wamejitenga na huu mgogoro. jana ndege za urusi zilipita anga la estonia kwa makusudi kabisa.
Ujerumani hajajitenga na yeye ndio watu wa kwanza kulaani, na pia ameshiriki bega kwa bega kuweka Vikwazo na Baadhi za mali za matajiri wa Urusi vimezuiliwa zikiwemo boti za kifahari
 
Mkuu kasome some historia vizuri Kati ya hao washirika wa NATO na USA wao enzi za Hitler nani aliweza kumtwanga Hitler kwa Ulaya,kama sio Mrusi!

All in all USA anamuogopa mrusi na amejaribu miaka mingi kujaribu kuua uimara wake ikiwemo kuua dude la USSR Ila bado Moscow ni mbabe pekee dhidi ya USA.

USA peke yake hawezi kuingia vitani na Urusi.
Kasome pia na wewe .
Kushinda kwa Urusi ni kwa sababu ya hali ya hewa.
 
Kaka acha uongo.
Russia ni middle upper income country.
We unafanya mchezo nchi kuwa ulimwengu wa kwanza!?
Russia haipo ktk first world countries.
Hivi ni nani huwa anapanga rank za kwamba hii ni first world na hii ni middle na third world country? Kama sio yale mashirika Mumiani ya britton wood? IMF na WB.
Russia haisemwi kuwa ipo ulimwengu wa kwanza lakini kiuhalisia ipo. Sio mpaka waseme hao mapepari ndio uone wapo sahihi.
 
Ndugu kuna sababu ambazo zinaiweka Russia ulimwengu wa pili.
Kubwa zaidi ni uchumi,Uchumi wa Russia hauko competitive ht kwa nchi moja ya ulimwengu wa kwanza.
Pigia mfano China alivyowekewa vikwazo kipindi Cha Trump na jinsi alivyovitengua na hakuna raia wa China aloathirika Wala hela ya China kiathirika,pia pigia mfano kinachomkuta Russia,wananchi leo wameingia road kuandamana Vita na Ukraine isitishwe ugumu wa maisha umewashinda vikwazo viondolewe.
JAMAA KWA HASIRA KAKAMATA MAELFU YA WAANDAMANAJI.
Humu watu huwa mnadhani Russia anajiweza hamna kitu.
Toka aingie madarakani raia wamekwishaandamana kupinga ugumu wa maisha zaidi ya mara kumi Moscow na viunga vyake.
 
Ninani alimwambia Mh Magufuli kwambq sisi ni nxhi ya uchumi wa kati? Niambie tofauti uliyoiona kwa kabla na baada ya kupqndishwa daraja na hayo mashirika ya kibeberu. Kuna tofauti yoyote?

IMF na WB ni vyombo vya westen country.
 
And to the red banner of Glorious
Fatherland,
We will always be devoutly true,
Glory to our free motherland. 🇷🇺
 
Back
Top Bottom