Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
wee jamaa banaNdugu kuna sababu ambazo zinaiweka Russia ulimwengu wa pili.
Kubwa zaidi ni uchumi,Uchumi wa Russia hauko competitive ht kwa nchi moja ya ulimwengu wa kwanza.
Pigia mfano China alivyowekewa vikwazo kipindi Cha Trump na jinsi alivyovitengua na hakuna raia wa China aloathirika Wala hela ya China kiathirika,pia pigia mfano kinachomkuta Russia,wananchi leo wameingia road kuandamana Vita na Ukraine isitishwe ugumu wa maisha umewashinda vikwazo viondolewe.
JAMAA KWA HASIRA KAKAMATA MAELFU YA WAANDAMANAJI.
Humu watu huwa mnadhani Russia anajiweza hamna kitu.
Toka aingie madarakani raia wamekwishaandamana kupinga ugumu wa maisha zaidi ya mara kumi Moscow na viunga vyake.
samahani kama ntakukwaza ila huna hoja yamana hapa uloandika zaidi ya ushabiki
RUSSIA ilikuepo mpaka kwenye nchi saba tajiri zaidi Ulimeenguni G7 kabla yakuja kumtoa kimichongo mwaka 2014 kwasababu yakuivamia UKRAIN nakuitwaa CRIMEA unathubutuje kusema kwamba RUSSIA ni middle?
kuhusiana na hao waloandamana wala hawakuandamana kwasababu yamaisha magumu yaloletwa na vikwazo jamaa weandamana kwakutaka vita isitishwe tu wala sio masuala yakiuchumi
muache kutudanganya walau siku moja moja