Urusi kuvamia na kuteka Ukraine sio habari ila Ukraine kuvamia kilomita 1,000 ndani Urusi na kuteka ni habari kubwa Sana ya kusisimua

mi naamini kabisa hao wanajeshi wametumia mbinu za kigaidi kuingia ndani ya mipaka ya urusi kitakachofuata ni kwamba hakuna hata mmoja atakayerejea ukraine...ngoja tusubiri muda ni mwalimu.......
Kujipa moyo tu. Ugaidi ameuanza ukraine kuingia urusi?
 
JF siku hizi ina watu wajinga sana mkuu! Hizi dini zimeharibu kabisa kizazi cha kiafrika hawajui hata kinachoendelea Kursk ushabiki ndio kipaumbele 😂
 
Hii vita inamchosha Sana Putin...Hadi Leo sijaona faida wamepata zaidi ya kutumia pesa nyingi na kupoteza Askari wake
 
Nusu ya Ukraine??????
 
Tuonyeshe hiyo nusu.Kama si msaada wa separist Russia angegongwa mapema.Sehemu aliyoteka amesaidiwa na mamluki wa Wegner lakini Mrusi yeye binafsi Hana mbinu zaidi kuharibu kila kilicho cha raia.Kuna nusu hapo?
Msamehe bure.
 
Na mlikuwa mansema urusi hawezi vamiwa kwa vile yuko vizur kijeshi leo mnasema tusubiri raia waondolewe tuone majibu.
Kama Ukraine ameweza kuhimili mashambulizi ya Russia kwa takriban miaka miwili na nusu sasa, basi anaweza kabisa kutushiana misuli na Russia ndani ya ardhi ya Russia vizuri kabisa.
 
Nas
Nashukuru moderate kwa kuboresha Uzi
Hata Kama Urusi atawaondoa wanajeshi wa Ukraine
Bado historia itabaki ya ushindi kwa ukraine
 
Hii vita haikuwa na ulazima wowote
Putin anaharibu uchumi wa nchi yake bure na ya mwenzake kwa ujinga wake
 
mi naamini kabisa hao wanajeshi wametumia mbinu za kigaidi kuingia ndani ya mipaka ya urusi kitakachofuata ni kwamba hakuna hata mmoja atakayerejea ukraine...ngoja tusubiri muda ni mwalimu.......
Kwahiyo wanajeshi wa russia waliingingia Ukraine kwa njia halali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…