Urusi kuvamia na kuteka Ukraine sio habari ila Ukraine kuvamia kilomita 1,000 ndani Urusi na kuteka ni habari kubwa Sana ya kusisimua

Man U kufunga Azam sio habari ila Azam kuifunga Man U hata bao moja la kupootea ni habari kubwa sana
 
Waukrain wameonyesha uzalendo Kama vijana wa Nyerere dhidi ya Nduli Amin
 
Wamepata hasara za Mali na uhai wa watu kwa kukutakia tu
Mbaya wanaharibu nchi ya watu iliyojengwa kwa gharama kubwa alafu wanataka hao hao wananchi wawatawale
Acha kudanganya watu Russia hataki kutawala ukraine

Russia anatetea sehemu ya nchi yake ambayo ilijiunga na Russia February mwaka juzi

Uongo mtaacha lini?
 
China was aamong of country
Copy and paste tech from the western county

The advantage of china in production is just a cheap labour and population which increase size of market
That why western company invest in china
Basi hao west watakua vichaa kama baadhi ya wachangiaji hapa ndani sidhanii kama nawewe utakua miongoni mwao

Kwanini hio cheap labour wasiifanye huko kwao badala yake wanaenda kumfaidisha mwengine?

Kumbe wazungu nawenyewe hawana akili wanazidiwa kwa akili namaarifa nakataifa kamoja ka uchina
 
Nas

Nashukuru moderate kwa kuboresha Uzi
Hata Kama Urusi atawaondoa wanajeshi wa Ukraine
Bado historia itabaki ya ushindi kwa ukraine
😀😀😀
Naona mnaanza kula matapishi yenu kabla hayajakauka

Waitishe kura ya maoni kursk ijitenge ijiunge na ukraine
 
Hii vita haikuwa na ulazima wowote
Putin anaharibu uchumi wa nchi yake bure na ya mwenzake kwa ujinga wake
Leta takwimu za uchumi wa Russia kabla ya nabaada ya

Halaf Russia yupo kwa SMO Ukraine ndio ipo vitani
 
Ulipoandika Ukraine wamejitoma km 1000 ndani ya Urusi nikaacha na kusoma
 
Acha kudanganya watu Russia hataki kutawala ukraine

Russia anatetea sehemu ya nchi yake ambayo ilijiunga na Russia February mwaka juzi

Uongo mtaacha lini
Sehemu Gani ya Urusi iko Ukraine wewe mjinga
Yaani ndo lengo la kwenda Kiev mji mkuu wa Ukraine
Nyie mngekuwepo vita ya Kagera mngesema Amin aachiwe Kagera

Ni aibu sana
 
Hivi putin anashinda au mambo yameanza kwenda up-down
 
Sehemu Gani ya Urusi iko Ukraine wewe mjinga
Yaani ndo lengo la kwenda Kiev mji mkuu wa Ukraine
Nyie mngekuwepo vita ya Kagera mngesema Amin aachiwe Kagera

Ni aibu sana
Kwanza kabla sijasahau mjinga mwenyewe

Halaf sijajua hoja yako nini dada zawadi
 
Tembo akiangusha nyati na nyati kumkimbiza tembo ipi habari?
 
Mpango wao umefeli.
Zaidi ya 70% ya askari wenye mafunzo bora kabisa wa Ukraine waliopo Kursk wameliwa vichwa (have died).
Ilikuwa trap technique ya kupoteza askari wao bora.
 
Lakini Cha ajabu Leo wamevamia Eneo la Urusi na kuliteka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…