Urusi kuwa na mji wa Bakhmut na Soledar, hasara ni kubwa kuliko faida

Ni kweli vita inapiganwa kwa tahadhari za kulinda Raia wasife kwa wingi na Urusi anazidi kujichimbia amepenyeza nguvu kubwa kwenye jeshi la Ukraine anawachunguza mda si mrefu ataishangaza Nato pindi akiteka Bandari kuu ya Ukraine
 
Marekani huchemsha sehemu nyingi hata kama ana kila kitu Somalia Vietnam alifeli na sasa Ukraine atafeli zaidi kwanza Bunge la USA hawataki kuingilia vita ya Ukraine kwa msaada wanaogopa Urusi kuja kutumia nyukilia ikaleta balaa Duniani
 
2. Kama anaweza kupigana kwa miezi 15 na kufanikiwa kuchukua eneo la SQM 53.9 ambao ni wastani wa SQM 3.6 kwa mwezi. Itamchukua muda gani kuichukua Ukraine yote kwa eneo ambalo hajalichukua zaidi ya SQM 482,960 ?
Urusi hana sabau wala nia ya "kuichukua Ukraine yote", kwa hiyo hapa ndipo uchambuzi wako unapoonyesha udhaifu wake na katika mambo mengine uliyoyataja kwenye mada yako.

Sitayaghusa hayo mengine na kuyapa ufafanuzi kwa sasa hivi.
 
Ukweli ni Urusi yupo Ukraine kwa miezi kibao sasa na Uongo ni Ukraine kudai atawapiga Urusi licha ya kupata misaada mingi tokea NATO
Kelele nyingi za mwanzo toka kwenye vinchi vya NATO zimeanza kufifia, muda si muda wataanza kumhimiza kibaraka wao aingie kwenye mazungumzo na Urusi.
 
Hata kama angekufa askari mmoja ni hasara.

Unapoingia vitani huendi kufanya mzaha, hasa vita unayojua ni kwa uhai wa nchi yako, tofauti kabisa na kwenda kutalii kule kwa akina Taliban.

Unachokosa kuelewa, hivi vita ni ya kufa na kupona kwa Urusi, kwa hiyo gharama yoyote ile inamlazimu aibebe.
 
Yaani tz vituko haviishi, yaani Urusi afanye jambo pasi kujua umhimu wa jambo
 
Unajua hesabu kweli? Nadhani ulimaanisha SQKM maana sqm ni urefu in meters times upana in meters. Mji kuwa sqm 54 ni sawa na kiwanja 12 meters urefu na upana 4.5 meters! Hapo hata nyumba haienei
 
Maswali yako na sum. 1. Tangu siku ya kwanza Urusi anapigana na NATO siyo Ukraine. Tafuta bajeti ya fedha, vifurushi vya silaha na logistics kutoka Marekani na washirika wengine wa NATO. Vifaru chapa Leopard nk. Rejea nyaraka zilizovuja za Pentagon.

Pili, mfumo wa patriot wa US umetikiswa vibaya mno last week. Wanakiri umetikiswa ila haujaharibiwa. Mzungu akisema hivi unaelewa...πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€. Kuhusu Urusi na China yuko wazi amani itahusu majimbo manne iliyokamata kuwa Urusi si vinginevyo.

Mwisho, mimi ni muumini mkubwa wa amani na usalama duniani. Tuombe amani amani amani na usalama duniani. Vita hii imeharibu uchumi wa dunia na maisha ya wakulima wengi wa Afrika. πŸ™πŸ™πŸ™
 
Ukraine hawana kitu bank nyingi Urus alichukua pesa walizozikuta
 
Ni kweli vita inapiganwa kwa tahadhari za kulinda Raia wasife kwa wingi na Urusi anazidi kujichimbia amepenyeza nguvu kubwa kwenye jeshi la Ukraine anawachunguza mda si mrefu ataishangaza Nato pindi akiteka Bandari kuu ya Ukraine
How???
 
Marekani huchemsha sehemu nyingi hata kama ana kila kitu Somalia Vietnam alifeli na sasa Ukraine atafeli zaidi kwanza Bunge la USA hawataki kuingilia vita ya Ukraine kwa msaada wanaogopa Urusi kuja kutumia nyukilia ikaleta balaa Duniani
Hapo ndo umejibu tulichouliza au una stimu zako. Off the point.
 
Inaelekea hata hujui kinachoendelea ila na wewe unataka uonekane unajua kumbe unajiaibisha mbele za watu.
 
Urusi itachezeshwa shere kwenye huu uvamizi mpaka ichanganyikiwe.
 
Wabongo mna shida sana.
Unaulizwa maswali unashindwa kuyajibu na badala yake unapiga blablaa ambazo ni tofauti na ulichoulizwa. Si bora ungeuchuna tu ungeepuka aibu ya kukosa hoja.
 
1. Nina lengo la kuwaMfanyabiashara tajiri, ila usije kesho tu ukasema 'Mbona hadi leo hujawa tajiri kumbe hata hilo sio lengo lako kweli, utakuwa na malengo mengine wewe'.
2. Nikijibu kama ulivyoulizwa ntasema labda SMO imepelekea hiyo vita unayosema. Kama ambavyo ukinikuta nimekuwa mwanasiasa baada ya kuwa mfanyabiashara tajiri usishangae.
3. Hahahahaah, Ndiyo...... maadui zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…