Mkosoaji mkubwa wa rais wa Urusi,
Alex Navalny amelalamikia kitendo cha walinzi wa gereza aliloshikiliwa kumlazimisha kusikiliza hotuba ya Rais Vladimir Putin kwa muda wa siku mia moja mfululizo.
Mwanasheria wa Navalny,
wakili msomi Diwalii,amedai kuwa mteja wake alilazimishwa kuisikiliza hotuba hiyo kwa siku miamoja mfululizo na hata pale alipowaomba walinzi wa gereza kuibadilisha walimueleza kuwa hawawezi kufanya hivyo mpaka mbabe Putin atakapolihutubia bunge kwa mara nyingine tena.
Inasemekana hotuba hiyo aliyosikilizishwa kwa lazima bwana Navaln,
ni ile iliyotolewa na mbabe Putin kwa wabunge wa urusi siku chache kabla hajayaamuru majeshi yake kuingia nchini Ukraine kwa kile alichokidai kuwa kupambana na manazi wa kisasa