Urusi: Mkosoaji wa Rais Putin alazimishwa kuisikiliza hotuba ya Rais kwa siku 100 mfululizo

Kilichoifanya Marekani ifike hapo ilipo ni matokeo ya Vita na Uporaji sio Demokrasia kama unavyodhani
Wamepora nani tupe ushahidi. Nyie ndio wale mtu akiwazidi kimaisha mnasingizia oh kutuibia oh mara sijui ni freemason. Masikini hakosi visingizio.
 
Russia ni nchi isiyobadilika kabisa, wako vilevile walivyokuwa karne mbili zilizopita na wana bahati mbaya sana ya kutawaliwa na watawala madikteta.

Russia kwa rasilimali walizonazo kama ni nchi ambayo ingekuwa na mfumo wa utawala kama ule wa Marekani basi leo hii kiuchumi nchi kama Marekani na China zingekuwa ni cha mtoto kwa Russia.
Mbona China ana mfumo tofauti na US ila anamkaribia kiuchumi?
 
Laiti ungejua teknolojia alizonazo Urusi usingesema haya.
 
Mbona China ana mfumo tofauti na US ila anamkaribia kiuchumi?
Unaongelea GDP ambacho sicho kipimo cha kiuhalisia kupima hali ya uchumi katika nchi bali ni kielelezo cha pato la taifa huku wananchi wengi wakiwa choka mbaya na hiyo ndio hali inayoikabili China.

Wananchi wengi wa China bado ni walalahoi hadi wengine wanakimbilia nchi za nje kwenda kufanya umachinga hali inayoonyesha kwamba GDP tu kuwa kubwa si lolote si chochote.

The higher the GDP doesn't mean the higher the standard of living, they're two way street.
 
Vp kuhusu India nchi yenye demokrasia kubwa kuliko zote duniani mbona uchumi wake hauingii kwa China kwa vipimo vyote.
 
Russia ni nchi isiyobadilika kabisa, wako vilevile walivyokuwa karne mbili zilizopita na wana bahati mbaya sana ya kutawaliwa na watawala madikteta.

Russia kwa rasilimali walizonazo kama ni nchi ambayo ingekuwa na mfumo wa utawala kama ule wa Marekani basi leo hii kiuchumi nchi kama Marekani na China zingekuwa ni cha mtoto kwa Russia.
Russia ni nchi inayojari human nature, its morals na culture yake. Ibadilike iwe kama marekani? Hebu acha kuleta hoja za kinrainbow wewe!
 
Back
Top Bottom