Urusi: Mkosoaji wa Rais Putin alazimishwa kuisikiliza hotuba ya Rais kwa siku 100 mfululizo

Kilichoifanya Marekani ifike hapo ilipo ni matokeo ya Vita na Uporaji sio Demokrasia kama unavyodhani
Wamepora nani tupe ushahidi. Nyie ndio wale mtu akiwazidi kimaisha mnasingizia oh kutuibia oh mara sijui ni freemason. Masikini hakosi visingizio.
 
Mbona China ana mfumo tofauti na US ila anamkaribia kiuchumi?
 
Laiti ungejua teknolojia alizonazo Urusi usingesema haya.
 
Mbona China ana mfumo tofauti na US ila anamkaribia kiuchumi?
Unaongelea GDP ambacho sicho kipimo cha kiuhalisia kupima hali ya uchumi katika nchi bali ni kielelezo cha pato la taifa huku wananchi wengi wakiwa choka mbaya na hiyo ndio hali inayoikabili China.

Wananchi wengi wa China bado ni walalahoi hadi wengine wanakimbilia nchi za nje kwenda kufanya umachinga hali inayoonyesha kwamba GDP tu kuwa kubwa si lolote si chochote.

The higher the GDP doesn't mean the higher the standard of living, they're two way street.
 
Vp kuhusu India nchi yenye demokrasia kubwa kuliko zote duniani mbona uchumi wake hauingii kwa China kwa vipimo vyote.
 
Russia ni nchi inayojari human nature, its morals na culture yake. Ibadilike iwe kama marekani? Hebu acha kuleta hoja za kinrainbow wewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…