Urusi: Mwana kayataka, Finland na Sweden wamekidhi vigezo vya NATO

Urusi ina silaha za maangamizi ambazo akitokea kichaa anaweza kuiangamiza dunia. Ni ukosefu wa akili kufikiri kwamba dunia ina mbabe. Hata USA haiwezi kujigamba kwa sasa enzi hizi za nyuklia.
Korea kaskazini ni taifa dogo lakini ina silaha za maangamizi. Sijui kwa nini watu wako subjective kiasi hiki.
mataifa yote yanapaswa kupambana dhidi ya silaha hatari.
 
huyo mwanaume hajawai igusa nchi nwanachama wa NATO anavamia walalahoi wenzake
 
ule muungano mwingine wao ni NDIO NDIO tu ukipinga bas ww MSALITI ila huku unapewa uhuru wa kumkataa member mpya na hawakusumbui , hatuez waangusha NATO kama tutaendeshana km nyani wa mwituni silaha bora ya kuwaangusha NATO sio kwa kufanya makosa yao bali kufanya mazuri yao kwa ufanisi mkubwa kukiko wao
 
Kwasasa Mitambo ya Nuclear inategwa boda pale na Finland na Sweden...wala haina shida mingine itawekwa Venezuela
tatizo Venezuela wananch hawaitak serikali , ukiweka mitambo kesho yake mapinduz , unawaachia silaha maadui
 
Hao wapuuzi wa NATO hawana chochote.
Mbona wameshindwa kumuunga Ukraine kwa hati ya dharula?
Hao mishoga ulipopigwa ubalozi wa Ujerumani Kiev mbona hawakutoa reaction yoyote?
unachoandika kina akisi uwezo wa akili yako , hujiuliz,kwann Putin kaivamia Ukraine ambayo haipo kwenye umoja wowote either wa kibara au kiulinz , hlf kaiacha Latvia au Estonia ambao na wao pia ni NATO
 
Kumbe vita ni Uzalendo na kujitoa hao Ukraine wamemsumbua Mrusi ambae kila kukicha alikua anafanya drills sijui leo na India kesho China kumbe zile zilikua show off tuu leo anaomba msaada Iran wa Drones...Mrusi hamna kitu kabisa kumbe hata majeshi yetu ya Afrika yana nguvu sana yakipata siraha wanaweza kusumbuana na hao waongo wa Vita...mtu anakamata Walevi mtaani wakapigane vita na kutumia wafungwa pana jeshi hapo ujanja ujanja tuu..
 
URUSI NAE ANA MUUNGANO WAO WA KUJILINDA KAMA NATO UNAHUSU NCH ZAHUKO ENEOLAOKWA TAARIFA SIO KWAMBA YUKO PEKE YAKE KAMA UNAVYODHANI
 

Ungeleta habari tu hiyo Si ingetosha… mpaka uisindikize na umbea na unazi?

Malizia na Uturuki kuibania Sweeden basi:
 
Mfano wa kipuuzi kabisa, Simba huwa wanajiunga pamoja kumvamia digidigi kwa kuwa wanaogopa Digidigi atawaumiza au atawavamia au kwa sababu gani?.
Tumia hilo bichwa vizuri
 
Hivi watu wengine mnatumiaje vichwa? Kwani Urusi peke yake ndiyo ana silaha za maangamizi?
1. Kwani Marekani hana silaha za maangamizi? kwanini wasiungane dhidi ya Marekani?
2. UK hana silaha za maangamizi? kwanini wasiungane dhidi ya UK
3. France hana silaha za maangamizi? kwanini wasiungane dhidi ya France?
Jambo wazi ni kwamba Marekani ni dhaifu na mpuuzi tu (ukiondoa kwenye movies za Hollywood? na ndiyo maana anakusanya watu wa kumsaidia palr mwanaume atapowasha moyo.
Military Super power ni mmoja tu RUSSIA.
 
kwan ulishawai sikia operation inafikia hatua hadi wanawawinda walev mtaani wakafanye operation
Kwani kuna mmoja wako yoyote mlevi amekokotwa kwenda vitani na Urusi?
Au jirani yako yoyote amekokotwa?
Ili nithibitishe kuwa Urusi anakusanya walevi.
Au unaniletea habari ambazo wapinzani wa Urusi wanataka tuzisikie?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…