Siasa za udikiteta kama za uchina haziruhusu kuwa na states. Ku manage states lazima uwe na demokrasia ya kweli.MAREKAN NI STATES 54 zinazojitegemea kwab kila kitu kwa kila states , China anitahidi kuunda hiki kitu nchini mwake ila bado kwasasa hv
Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app