Mkuu kwanza pole,
Kuwa na bajeti kubwa ya kivita sio lazima utakuwa na nguvu kubwa sana.
Pili naona unaipa US nguvu ambayo hana. Swali rahisi ni Vita ipi marekani kaenda mwenyewe na kushinda? Nitajie moja tu.
Pili mataifa kama China na Urusi yana zaidi ya umri wa 1,000 ndio miaka elfu soma historia. Hakuna vita aliyopigana wakashindwa ndio maana nchi zao ni kubwa sana.
Pia soma historia na majarida ya kijeshi ya majeshi makubwa duniani na imeelezwa vizuri wapi US ana nguvu kubwa na wapi Dhaifu hivyo hivyo kwa Urusi na China.
Ukraine nchi zaidi ya 30 wamepeleka silaha za kila aina lakini hakuna dalili za hata kusogea nchi moja zaidi wanapigwa, je hizo silaha kali ni zipi?
Uliwahi kusikia cha meli vita ya Marekani (5G) ilichofanyiwa na Urusi 2013 na ndio mwanzo wa kutaka Ukraine iingie NATO? Kama hujakipata kasome.
Uliwahi kusikia makombora Hypersonic (match 13-19) ambazo ni tested kwenye combat zones? Uliwahi kusikia makombora supersonic (match 3-9) tested ni real combat zones.
Je unajua Urusi hahitaji base yeyote nje ya nchi kupiga sehemu yeyote ulaya na marekani?
Je wajua the most powerful infantry na vifaru bora wanatoka nchi gani.?
Mambo ni mengi ukijua hiyo utaedit post yako. Utaipa creditUS yale anayostahili na wengine utawapa credit yao pia.
Mwisho, ukitaka kumwangusha mtu mkubwa usiache aanguke kama mgomba wenye ndizi maana kishindo na vumbi lake ni kubwa sana, hivyo mwache aanguke kidogo kidogo ili vumbi lisitapakae na aweze kuzibitiwa.