Urusi na China haziwezi kuiangusha Marekani

Urusi na China haziwezi kuiangusha Marekani

However USA anaweza kuangushwa kiuchumi na kisiasa lakini kwa njia ya INVASION au WAR ni ndoto.
Hii ndio sababu maalum. Unamkumbuka baba wa wakoloni? England huyu alikuwa na nguvu lakini nguvu zake zilipelekwa USA baada ya vita vya kwanza vya dunia. Sasa muda wa lile taifa la mashariki ya kati kuwa na nguvu za kiuchumi. Huku akilindwa na kaka zake USA/NATO, si kwenye dini ndio inavyosema hio nchi atakuja mtawala atakae iongoza dunia.
 
Ajabu ni kwamba pamoja na ubabe wake wote, [emoji631] hawezi kulianzisha popote duniani bila washirika wake kuwa upande wake. Bila [emoji632], [emoji629], [emoji636], [emoji1063] kuwa pamoja na kuunga juhudi [emoji631] hana mbavu za kulianzisha. Asimame mwenyewe tuone kama galazwi chali chap kwa haraka..
 
Kwa dunia ya sasa mataifa makubwa yanapigana vita vya kiuchumi tu

Hautakuja kusikia hata siku moja eti Marekani ameenda kuivamia China au Urusi kivita. Au Urusi na China wataivamia kijeshi Marekani

Ni mwendo wa kuangushana kiuchumi kupitia economic sanctions
 
Waambie hao watu hawajuhi kitu ,wanadhani Vita ya Marekani na Urusi itapiganwa kwenye kambi. Kwanza , Vita hiyo itakuwa fupi sana lakini yenye madhara makubwa . Pili, itahusisha ICBM na silaha za Siri mno

Wanadhani ICBM zipo kwa kutungulia maembe kwenye miti
Hawaelewi wanabishana pasipo kujua yaliyo duniani
 
Halafu usa hawezipeleka silaha nzito kwenye nchi washirika wa NATO sababu nchi inawza kujiondoa NATO na kuwa adui wa marekani anytime na ikatumia silaha hizo hizo kujilinda hivo mtoa post fanya analysis zako upya
 
Nchi ya kuiangusha Marekani hakuna kabisa,tulikuwa tunadhani Urusi angemkaribia lakini vita vya Ukraine vimemuumbua vibaya.
Kwa uelewa wako unaona kabisa Ukraine anazichapa na Russia? Uliza [emoji631], [emoji629], [emoji636], [emoji632] na nchi umoja wa nato wametumia madolari mangapi hadi leo ili kumsafocate huyo mrusi.
 
Kwa investment ya dollar $844 billion kwenye jeshi lote mara 4 ya china Russia ni ngumu kukamatika
Hii sio sababu kwamba output itakua mara nne maana mchina anaweza kupa almost the same output ukizongatja yeye ana cheap labour
 
Yaani ingekuwa hivyo US ingekuwa imeshazivamia Russia na China haraka na kuzisambaratisha kama alivyofanya Yugoslavia,Iraq,Afghanstan,Vietnam,etc
Lakini kama alikimbia Vietnam,Afganistan,Iraq,nk sidhani kama anaweza kuthubutu hata kuwaza kuyapiga mataifa hayo.
Alichochelewa,angezuia mapema mataifa haya kumilki teknolojia ya Nuklia,lakini sasa it is too late.
Hawa jamaa tayari wana anti nuclear
 
I will speak facts only.

U.S.A Ndio nchi pekee duniani yenye teknolojia kubwa ya vita ukilinganisha na Nchi yoyote Duniani. Ndio Nchi yenye Navy force kubwa yenye teknolojia ya kisasa kuliko nchi yoyote Duniani. Namaanisha kama utaamua kurank nchi zenye navy force kubwa na hatari USA ni 1. Wamewekeza dollar $290 Billion kwenye navy pekee. Hii ni kwasababu wamepakana na Bahari mbili pacific na Atlantic na maeneo yote yameimarishwa kiulinzi.

U.S.A ndio nchi yenye jeshi la anga strong kuliko nchi yeyote duniani budget ya jeshi la anga Air force ni $210 billion, Umiliki wa air platforms zaidi ya 12000 mara 5 ya china na Russia. Hivyo marekani wana teknolojia ya kisasa na kubwa ya jeshi la anga kuliko nchi yoyote.

China inaongoza kuwa na wanajeshi Wengi kuliko nchi yoyote duniani lakini kwa Dunia ya leo wanajeshi wengi si guarantee ya kushinda vita sababu ya teknolojia mpya za kivita.

U.S.A ndio nchi yenye silaha nyingi kuliko nchi yoyote duniani. Kwa mujibu wa watu wa Gun violence marekani bunduki (za kisasa) ni nyingi kuliko idadi ya watu marekani.

However USA anaweza kuangushwa kiuchumi na kisiasa lakini kwa njia ya INVASION au WAR ni ndoto.

Usiniletee ubishi wa Simba na yanga leta NUMBERSView attachment 2564733View attachment 2564730View attachment 2564731View attachment 2564732
Mjomba usiwe unaamini kila kilichoandikwa, kwa sababu imeandikwa kwa Kiingereza na jarida maarufu na wewe unaamini..
Dunia ya leo inaendeshwa na full propaganda kukutia hofu ili usithubutu kuwadindia..
Kama hayo uliosema ni kweli ingepelekwa puta miaka 20 na wavaa kobazi wa Afghanistan ? We vipi bana ?
 
I will speak facts only.

U.S.A Ndio nchi pekee duniani yenye teknolojia kubwa ya vita ukilinganisha na Nchi yoyote Duniani. Ndio Nchi yenye Navy force kubwa yenye teknolojia ya kisasa kuliko nchi yoyote Duniani. Namaanisha kama utaamua kurank nchi zenye navy force kubwa na hatari USA ni 1. Wamewekeza dollar $290 Billion kwenye navy pekee. Hii ni kwasababu wamepakana na Bahari mbili pacific na Atlantic na maeneo yote yameimarishwa kiulinzi.

U.S.A ndio nchi yenye jeshi la anga strong kuliko nchi yeyote duniani budget ya jeshi la anga Air force ni $210 billion, Umiliki wa air platforms zaidi ya 12000 mara 5 ya china na Russia. Hivyo marekani wana teknolojia ya kisasa na kubwa ya jeshi la anga kuliko nchi yoyote.

China inaongoza kuwa na wanajeshi Wengi kuliko nchi yoyote duniani lakini kwa Dunia ya leo wanajeshi wengi si guarantee ya kushinda vita sababu ya teknolojia mpya za kivita.

U.S.A ndio nchi yenye silaha nyingi kuliko nchi yoyote duniani. Kwa mujibu wa watu wa Gun violence marekani bunduki (za kisasa) ni nyingi kuliko idadi ya watu marekani.

However USA anaweza kuangushwa kiuchumi na kisiasa lakini kwa njia ya INVASION au WAR ni ndoto.

Usiniletee ubishi wa Simba na yanga leta NUMBERSView attachment 2564733View attachment 2564730View attachment 2564731View attachment 2564732
Unachekesha sana mkuu, kuwa na silaha nyingi ambazo sio effective zinaweza kukuangusha mapema sana vitani 😀😀😀!

Hichi ulicholeta ni sawa na kusema kila mtu mwenye uzito mkubwa na bonge anaweza kumtandika mtu mwenye less weight na mwembamba kwenye street fight!

Kwamba sababu mwarabu fighter ni mbavu anaweza akampiga professional boxer kama Twaha Kiduku.
 
Marekani anasaidiwa na vifuatavyo

Kushiriki vita nyingi, hivyo kujua uadhaifu wa jeshi, zana na silaha zake.

Logistics Marekani ana uwezo wa kutumia siku 1 kufaulisha wanajeshi 10,000 alionesha mfano alipoondoka Afghan ndani ya masaa 24 aliweza ondoa watu 10,400 kwa kutumia C17 Galaxy

Marekani ana fleet ambazo ziko deployed duniani, hivyo ni rahisi sana kufika popote au kutuma mabomu

Marekani ana Base zaidi ya 800 duniani.

Ndo maana vita ya Ukraine anatumia sana Base zake za Germany.

Kwa sasa kaweka Base ya kudumu Poland

Kingine ni angani Marekani ana uzoefu sana

China haijawahi shiriki vita yoyote kubwa

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Waambie hao watu hawajuhi kitu ,wanadhani Vita ya Marekani na Urusi itapiganwa kwenye kambi. Kwanza , Vita hiyo itakuwa fupi sana lakini yenye madhara makubwa . Pili, itahusisha ICBM na silaha za Siri mno

Wanadhani ICBM zipo kwa kutungulia maembe kwenye miti
Hahahah nashangaa hizo MB 800 anazojinadi anazo zitamsaidia nini huyo USA akitandikwa Bomu la Tsunami 🤣🤣🤣!

Wakati hajakaa sawa anakula Hypersonic zenye nuclear heads zinawakaanga vizuri tu maana hazizuiliki zikitumwa.
 
Mkuu watu wanacho sahau ni kwamba American Military is spread too thin, sasa hizo sio dalili nzuri wakati wa vita mfano:WW3 lets say - mambo ya logistics kufikia bases zao zote zile Duniani itakuwa kama a nightmare kwao - sina uhakika kama hilo wao wamekwisha liona au la.
Hizo milotary base sio ishu. Ishu ni watu wenye balls wasioogopa kufa Marekani hana. Hivyo vifaa viko tu ila jeshi la Ardhini litabaki kuwa la muhimu sana kusonga mbele kivita.
USA anategemea Tech kuliko wanajeshi wapiganaji.

Hio tech yenyewe Urusi anaweza kuikaanga na kuifanya less effective kwa kutumia jammers za electronics. Inapigwa mionzi tu command centre yote inapoteana
 
Acha kuwa poyoyo, hakuna Taifa liko vizuri kama Marekani kwenye logistics za kijeshi, ndio maana wanaweza ku project power na kupigana popote duniani kwa muda mrefu sana. Urusi hapo mpaka kwake tu Ukraine panamtoa kamasi unaenda mwaka wa pili sasa.
We endelea kuamini Propoganda tu. Marekani ni fala tu na yeye anajijua ame capitalize kwenye kujikuza kwa bosheni. Hana huo ukubwa ndio maana ana haha
 
Back
Top Bottom