Marekani anasaidiwa na vifuatavyo
Kushiriki vita nyingi, hivyo kujua uadhaifu wa jeshi, zana na silaha zake.
Logistics Marekani ana uwezo wa kutumia siku 1 kufaulisha wanajeshi 10,000 alionesha mfano alipoondoka Afghan ndani ya masaa 24 aliweza ondoa watu 10,400 kwa kutumia C17 Galaxy
Marekani ana fleet ambazo ziko deployed duniani, hivyo ni rahisi sana kufika popote au kutuma mabomu
Marekani ana Base zaidi ya 800 duniani.
Ndo maana vita ya Ukraine anatumia sana Base zake za Germany.
Kwa sasa kaweka Base ya kudumu Poland
Kingine ni angani Marekani ana uzoefu sana
China haijawahi shiriki vita yoyote kubwa
Sent from my M2006C3LG using
JamiiForums mobile app