Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
You are fool to believe thatPUtin his dayz are numbered.
Putin mwanaume mara moja hakuna wa kumtishia. Ana mpango wa kujenga nyingine Mexico na Venezuela.PUtin his dayz are numbered.
Kweli kabisa mkuu. Marekani anajengewa mizinga ya nuclear sebuleni .kayataka mwenyewe mara Ukraine mara Taiwan sass wababe wameona isiwe tabuKama ni kweli basi itapendeza sana
Unaambiwa tangu juzi ndege za marekani za uchunguzi zinapiga patrol ile mbayaa hakuna kulala mwanaume anapita na meli zake za kivita pwani ya marekani kwanza kachelewa kufika Cuba alisimama kando ya Miami kuangalia hali ya hewa ya marekani.Huo si ndiyo mchezo wa marekani,Wacha na wenzake wafanye
20 miles huko Florida,waliona mzigo wa nuclear ukipita,kwamba zingueni tuwazingueUnaambiwa tangu juzi ndege za marekani za uchunguzi zinapiga patrol ile mbayaa hakuna kulala mwanaume anapita na meli zake za kivita pwani ya marekani kwanza kachelewa kufika Cuba alisimama kando ya Miami kuangalia hali ya hewa ya marekani.
Unaziongelea hizo meli zinazotwangwa na kuzamishwa na Ukraine?Tayari inefahamika kuwa Russia na China wameanza maandalizi ya ujenzi wa Kambi ya kijeshi ya kudumu katika visiwa vya Cuba ambavyo vipo umbali wa mile 90 kutoka pwani ya marekani.
Ukitoa habar angalia reputation ya chanzo cha habari!Tayari inefahamika kuwa Russia na China wameanza maandalizi ya ujenzi wa Kambi ya kijeshi ya kudumu katika visiwa vya Cuba ambavyo vipo umbali wa mile 90 kutoka pwani ya marekani.
Masihara hayo!Putin mwanaume mara moja hakuna wa kumtishia. Ana mpango wa kujenga nyingine Mexico na Venezuela.
Red sea amechukua hatua ipi?Naipenda Urusi ila unafanya masihara Sana unavyoichukulia Marekani Kama mshindani wa Karibu Sana wa Urusi katika Mambo ya kijeshi na ulinzi wa mipaka yake!! Be serious plz