Urusi na China Kujenga kambi ya kudumu ya Kijeshi nchini Cuba

Kila kitu isipokuwa uhai, kinawezekana kikipangiliwa vizuri.
Lkn kwa hili Sina uhakika.
Binafsi , nadhani, anguko la uchumi wa nchi nyingi miaka michache ijayo kwa jibu la BRICS, litabadili mifumo mingi na mitazamo mingi.
Huenda pia likapelekea nchi nyingi kuzaliwa Toka mataifa makubwa.
 
Marekani alikuwa anajitanua kutaka kukaa karibu na mrusi huku akisahau mrusi naye anaweza kufanya hivyo. Waliopanga huo mipango watalaaniwa na wamarekani kwa kuhatarisha maisha yao.
Unaiongelea hiyo show off visit?
 
Kichaa pekee ndo ataamini (Russia+cuba) wanaweza kufurukuta mbele ya USA.
 
Tayari inefahamika kuwa Russia na China wameanza maandalizi ya ujenzi wa Kambi ya kijeshi ya kudumu katika visiwa vya Cuba ambavyo vipo umbali wa mile 90 kutoka pwani ya Marekani.

Hii ni strategy ya hali ya juu sana na hatari sana kwa usalama wa marekani. Nadhani kwa sasa lazima marekani ifanye mambo yake kwa tahadhari kubwa maana asiyempenda kaja mpaka sebuleni kwake.

Wachambuzi wa masuala ya kijeshi wanatuambia huu ndio mwanzo wa mwisho marekani kutamba kijeshi katika mataifa ya nchi zingine.

View attachment 3015807View attachment 3015808
Urusi amezungukwa zaidi na Marekani kuliko eneo moja huko Cuba, Marekani atakuwa na base Ukraine, tayari Poland, tayari Finland ambapo ni pua na mdomo na Urusi, Sweden ni vile Urusi akijaribu tu atachakazwa kama mpira wa coner
 
Tayari inefahamika kuwa Russia na China wameanza maandalizi ya ujenzi wa Kambi ya kijeshi ya kudumu katika visiwa vya Cuba ambavyo vipo umbali wa mile 90 kutoka pwani ya Marekani.

Hii ni strategy ya hali ya juu sana na hatari sana kwa usalama wa marekani. Nadhani kwa sasa lazima marekani ifanye mambo yake kwa tahadhari kubwa maana asiyempenda kaja mpaka sebuleni kwake.

Wachambuzi wa masuala ya kijeshi wanatuambia huu ndio mwanzo wa mwisho marekani kutamba kijeshi katika mataifa ya nchi zingine.

View attachment 3015807View attachment 3015808
Wafuasi wa Hamas wamepata kijiwe cha kujifariji, kwa taarifa tu ni kuwa USA bado ataendelea kuwa imara kwa miongo mingi. Urusi kazungukwa na NATO kila mahali ndio anakumbuka shuka asubuhi.
 
Hivi pale CUBA kuna kiongozi wa kukubali tena kuingizwa mkenge wa kugombanishwa na USA?
 
Tayari inefahamika kuwa Russia na China wameanza maandalizi ya ujenzi wa Kambi ya kijeshi ya kudumu katika visiwa vya Cuba ambavyo vipo umbali wa mile 90 kutoka pwani ya Marekani.

Hii ni strategy ya hali ya juu sana na hatari sana kwa usalama wa marekani. Nadhani kwa sasa lazima marekani ifanye mambo yake kwa tahadhari kubwa maana asiyempenda kaja mpaka sebuleni kwake.

Wachambuzi wa masuala ya kijeshi wanatuambia huu ndio mwanzo wa mwisho marekani kutamba kijeshi katika mataifa ya nchi zingine.

View attachment 3015807View attachment 3015808
Huu Sasa uchokozi wa waziwazi
 
Wafuasi wa Hamas wamepata kijiwe cha kujifariji, kwa taarifa tu ni kuwa USA bado ataendelea kuwa imara kwa miongo mingi. Urusi kazungukwa na NATO kila mahali ndio anakumbuka shuka asubuhi.
🤣🤣 vumilieni imepenya hiyoo
 
Back
Top Bottom