Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
- Thread starter
- #81
Yeye mbona anakwenda kwenye milango ya mwenzake?Marekani ikiruhusu hizo kambi zijengwe itakuja juta,ifanye lolote kutengeneza chokochoko Cuba ili Cuba isikalike,adui zako wanawezaje kuja mlangoni kwako nawe ukawa kimya?