Urusi na China Kujenga kambi ya kudumu ya Kijeshi nchini Cuba

Kiuchumi Marekani na Urusi wametofautiana sana ila kijeshi wapi at per na Kuna wakati wanasema Urusi ipo vizuri kuliko US. Hii inamaanisha Russia anaweza kuwa na uwezo makubwa sana kwenye Anga lakini majini yupo weak kwa kulinganisha na Marekani n.k hivyo kwenye wastani...ndio Kuna wakati Russia yupo juu
 
Nani anasema hayoo??
 
Naipenda Urusi ila unafanya masihara Sana unavyoichukulia Marekani Kama mshindani wa Karibu Sana wa Urusi katika Mambo ya kijeshi na ulinzi wa mipaka yake!! Be serious plz
Unataka niichukuliaje mkuu?
 
Sasa mbona marekani inaweweseka?
Marekani aweweseke na hayo maigizo wanayocheza watoto?
Tatizo mambo kwenu ni mengi halafu madua ya kuku nayo mmekuwa nayo mengi sana kiasi mnapitwa na mengi ya msingi kabisa.
US na China wana ushirikiano mkubwa na wa kimkakati sana wa Kijeshi kuliko ushirika wowote ule wa Kijeshi na nchi nyingine. Nchi nyingine zinabaki kuwa soko la silaha za China na mafunzo.
Ushirikiano wa Kijeshi kati ya Russia na China upo zaidi katika kubalance nguvu na ushawishi wa US lakini wakati China na Russia wakishirikiana, huku US na China wanaendekea na vikao na ushirikiano wao ikiwemo kubadilishana taarifa mbalimbali
 
Marekani aweweseke na hao maigizo wanayocheza watoto?
Tatizo mambo kwenu ni mengihalafu madua ya kuku nayo mmekuwa nayo mengi sana kiasi mnapitwa na mengi ya msingi kabisa.
US na China wana ushirikiano mkubwa na wa kimkakati sana wa Kijeshi kuliko ushirika wowote ule wa Kijeshi na nchi nyingine. Nchi nyingine zinabaki kuwa soko la silaha za China na mafunzo.
Ushirikiano wa Kijeshi kati ya Russia na China upo zaidi katika kubalance nguvu na ushawishi wa US lakini wakati China na Russia wakishirikiana, huku US na China wanaendekea na vikao na ushirikiano wao ikiwemo kubadilishana taarifa mbalimbali
We lofa kweli China anapambana na US anaetaka Taiwan ijitenge leo hii unatudanganya anashirikiana na US?
 
Uzuri ukimuandama mtu mwenye akili uwezo wake wa kufikilia unakuja mkubwa zaidi. Hapo ndiyo wataipeleka dunia kwenye hatari zaidi sababu wanawapa akili ya kutengeneza silaha hatari zaidi za kuangamizana
 
Back
Top Bottom