Nani anasema hayoo??Kiuchumi Marekani na Urusi wametofautiana sana ila kijeshi wapi at per na Kuna wakati wanasema Urusi ipo vizuri kuliko US. Hii inamaanisha Russia anaweza kuwa na uwezo makubwa sana kwenye Anga lakini majini yupo weak kwa kulinganisha na Marekani n.k hivyo kwenye wastani...ndio Kuna wakati Russia yupo juu
You are dreaming!!@ 😂PUtin his dayz are numbered.
Sasa mbona marekani inaweweseka?Unaziongelea hizo meli zinazotwangwa na kuzamishwa na Ukraine?
Kwani Russia si ni sawa na Tabora United tu!
Utaamini tu hata kama hutaki.Si kweli
Hiyo habari imetolewa na US civil defence News. Ni wamarekani wenyewe siyo warusi au wachina.Ukitoa habar angalia reputation ya chanzo cha habari!
Nilijua habar kumbe udaku
Wewe unasema masihara wakati wenzako wanafanya kweliMasihara hayo!
Unataka niichukuliaje mkuu?Naipenda Urusi ila unafanya masihara Sana unavyoichukulia Marekani Kama mshindani wa Karibu Sana wa Urusi katika Mambo ya kijeshi na ulinzi wa mipaka yake!! Be serious plz
Kwani wewe huna macho?Nani anasema hayoo??
Marekani aweweseke na hayo maigizo wanayocheza watoto?Sasa mbona marekani inaweweseka?
Only time will tell you how foolish is Putin.You are fool to believe that
We lofa kweli China anapambana na US anaetaka Taiwan ijitenge leo hii unatudanganya anashirikiana na US?Marekani aweweseke na hao maigizo wanayocheza watoto?
Tatizo mambo kwenu ni mengihalafu madua ya kuku nayo mmekuwa nayo mengi sana kiasi mnapitwa na mengi ya msingi kabisa.
US na China wana ushirikiano mkubwa na wa kimkakati sana wa Kijeshi kuliko ushirika wowote ule wa Kijeshi na nchi nyingine. Nchi nyingine zinabaki kuwa soko la silaha za China na mafunzo.
Ushirikiano wa Kijeshi kati ya Russia na China upo zaidi katika kubalance nguvu na ushawishi wa US lakini wakati China na Russia wakishirikiana, huku US na China wanaendekea na vikao na ushirikiano wao ikiwemo kubadilishana taarifa mbalimbali
How foolish Putin is.Only time will tell you how foolish is Putin.
Hata akifa putin mpango utaendelea kufanya kazi mpaka ukamilikePUtin his dayz are numbered.
Huna unachokijua, utoto na madua ya mwewe ndiyo vimekutawala unataraji utajua kipi?We lofa kweli China anapambana na US anaetaka Taiwan ijitenge leo hii unatudanganya anashirikiana na US?