Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
- Thread starter
-
- #41
Nilijua utakuja na maelezo yaliyojitosheleza kutetea hoja yako kumbe umekuja na mipasho sasa mimi na wewe nani mtoto? Hapakufai hapa rudi ulikotoka tuachie mjadala baba zako.Huna unachokijua, utoto na madua ya mwewe ndiyo vimekutawala unataraji utajua kipi?
Wengi ambao wanakataa kukubali ni chuki zinawasumbua dhidi ya Urusi na hawapendi kusikia marekani anapata tabu.Hii habari imetolewa na US Civil Defece,
Halafu anakuja mtu kutoka huko Ifakara anasema sio kweli!!
HaweziSasa ni muda muafaka wa USA kuivamia kijeshi kama Urusi ilivyoivamia Ukraine kwa kisingizio inashirikiana na NATO
Kweli we mtoto wa shuleOnly time will tell you how foolish is Putin.
Unaiongelea hiyo show off visit?Marekani alikuwa anajitanua kutaka kukaa karibu na mrusi huku akisahau mrusi naye anaweza kufanya hivyo. Waliopanga huo mipango watalaaniwa na wamarekani kwa kuhatarisha maisha yao.
Maliza vita tuone mwaka wa tatu sasa unahangaika kuomba vi drone's kwa Iran - akili hiyo.You are fool to believe that
KizunguzunguPUtin his dayz are numbered.
Yeah!Kweli we mtoto wa shule
Mkuki kwa nguruwe ila kwa binadamu mchunguMarekani alikuwa anajitanua kutaka kukaa karibu na mrusi huku akisahau mrusi naye anaweza kufanya hivyo. Waliopanga huo mipango watalaaniwa na wamarekani kwa kuhatarisha maisha yao.
Urusi amezungukwa zaidi na Marekani kuliko eneo moja huko Cuba, Marekani atakuwa na base Ukraine, tayari Poland, tayari Finland ambapo ni pua na mdomo na Urusi, Sweden ni vile Urusi akijaribu tu atachakazwa kama mpira wa conerTayari inefahamika kuwa Russia na China wameanza maandalizi ya ujenzi wa Kambi ya kijeshi ya kudumu katika visiwa vya Cuba ambavyo vipo umbali wa mile 90 kutoka pwani ya Marekani.
Hii ni strategy ya hali ya juu sana na hatari sana kwa usalama wa marekani. Nadhani kwa sasa lazima marekani ifanye mambo yake kwa tahadhari kubwa maana asiyempenda kaja mpaka sebuleni kwake.
Wachambuzi wa masuala ya kijeshi wanatuambia huu ndio mwanzo wa mwisho marekani kutamba kijeshi katika mataifa ya nchi zingine.
View attachment 3015807View attachment 3015808
Wafuasi wa Hamas wamepata kijiwe cha kujifariji, kwa taarifa tu ni kuwa USA bado ataendelea kuwa imara kwa miongo mingi. Urusi kazungukwa na NATO kila mahali ndio anakumbuka shuka asubuhi.Tayari inefahamika kuwa Russia na China wameanza maandalizi ya ujenzi wa Kambi ya kijeshi ya kudumu katika visiwa vya Cuba ambavyo vipo umbali wa mile 90 kutoka pwani ya Marekani.
Hii ni strategy ya hali ya juu sana na hatari sana kwa usalama wa marekani. Nadhani kwa sasa lazima marekani ifanye mambo yake kwa tahadhari kubwa maana asiyempenda kaja mpaka sebuleni kwake.
Wachambuzi wa masuala ya kijeshi wanatuambia huu ndio mwanzo wa mwisho marekani kutamba kijeshi katika mataifa ya nchi zingine.
View attachment 3015807View attachment 3015808
Huu Sasa uchokozi wa waziwaziTayari inefahamika kuwa Russia na China wameanza maandalizi ya ujenzi wa Kambi ya kijeshi ya kudumu katika visiwa vya Cuba ambavyo vipo umbali wa mile 90 kutoka pwani ya Marekani.
Hii ni strategy ya hali ya juu sana na hatari sana kwa usalama wa marekani. Nadhani kwa sasa lazima marekani ifanye mambo yake kwa tahadhari kubwa maana asiyempenda kaja mpaka sebuleni kwake.
Wachambuzi wa masuala ya kijeshi wanatuambia huu ndio mwanzo wa mwisho marekani kutamba kijeshi katika mataifa ya nchi zingine.
View attachment 3015807View attachment 3015808
Hivi tunavyozungumza mitambo imeshatia nanga Cuba.Hivi pale CUBA kuna kiongozi wa kukubali tena kuingizwa mkenge wa kugombanishwa na USA?
Tofautisha kati ya uchokozi na majibuHuu Sasa uchokozi wa waziwazi
Mkuki kwa nguruwe....Huu Sasa uchokozi wa waziwazi
🤣🤣 vumilieni imepenya hiyooWafuasi wa Hamas wamepata kijiwe cha kujifariji, kwa taarifa tu ni kuwa USA bado ataendelea kuwa imara kwa miongo mingi. Urusi kazungukwa na NATO kila mahali ndio anakumbuka shuka asubuhi.