kitali
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 5,204
- 8,315
Hiyo ndio raha ya myahudi kila siku ni mshale tu mpaka mkaeWanaukumbi.
Waasi wanaoungwa mkono na Uturuki, Israel, Ulaya na Marekani wanatumiwa kuungusha utawala wa Rais Bashar al-Assad.
Ulaya na Marekani hapa wapambana na Urusi baada kushindwa kupambana naye Ukraine wamerudi tena Syria.