Urusi na Iran hawawezi kukubali serikali ya Syria itoke madarakani

Urusi na Iran hawawezi kukubali serikali ya Syria itoke madarakani

Warusi na Wairani wanashindwa nini kuisaidia Syria kurudisha visima vya mafuta vinavyokaliwa na wamarekani na kuuacha Uchumi wa Syria ukidhoofika na kuonewa na waasi?
Walijaribu kilicho wakuta hawataki tena kurudi huko kukomboa hivyo visima
 
Fake punch.

Inanikumbusha the war of the midway pacific hapo, Japs alijaribu kurusha fake punch kwakuset uelekeo wa navy maeneo ya Alaska alafu apenye Pacific amalize game, hahahaha Cow boy naye mwamba akagoma.

Russia na Iran wawe makini.
 
Ndio njia pekee ya kudeal na mwarabu atulie. Unamtengenezea ugomvi kutoka ndani. Unavyomuona mzungu anaruhusu migrants waingie kwao kwa wingi usifikiri wanakosea mzee. Wale wote wanaenda kutrainiwa kusubir siku ya kulianzisha.
Jamii yao inasilimishwa,soon or later europe you know won't be there
 
Jamii yao inasilimishwa,soon or later europe you know won't be there
Bro mi ungejua huko naenda kama hapo kkoo. Wazungu wengi wameamua kutokuamin habar za dini. Uislam unaokua ulaya ni wingi wa wageni wanaoingia. Wakimbizi wengi wanaokwenda ulaya ni waislamu. So ukiona misikiti mingi ujue ni wageni wanasali.
 
Sunni Shia Conflict inaanza tena, kuchinjana kwa Waisilamu wenyewe kwa wenyewe, theatre ni Syria huenda ikahamia na Iraq. sisi yetu macho na 🍿 na Soda baridi aina ya Bibsi😆😁

Jihadi wao kwa wao😄😁

"Makafiri" watapunzishwa kidogo 😁😆
Fitina za Israel kuangusha utawala wa Syria zimefeli. Mrusi hataki shobo anawashona vibaya mno
 
Assad aliua mtu ndo sababu haya yote yalianza mwaka 2011 , Ile nchi siyo ya Assad , mnavyozid kumtetea Assad ndivyo mnavyo chochea hii vita Wasyria wanateseka kisa Assad anang'ang'ania madarakani
Wewe aliyekwambia wasiria wanateseka ni nani? Wewe mwenyewe hapo ulipo unateseka leo umegeuka msemaji wa wasyria.
 
Wanaukumbi.

Waasi wanaoungwa mkono na Uturuki, Israel, Ulaya na Marekani wanatumiwa kuungusha utawala wa Rais Bashar al-Assad.

Ulaya na Marekani hapa wapambana na Urusi baada kushindwa kupambana naye Ukraine wamerudi tena Syria.
Hapo western media zote zinawaita hao kuea ni waasi yani rebells kwa sababu wanasapotiwa na west. Ingelikuwa wanasapitiwa na Iran ungesikia wanasema terrorists.
Hii dunia ina maajabu mengi
 
Back
Top Bottom