Kaka apa umesema kweli ongella hiii vita tatizo lengine lipo apa Uturuki anaowasaidia anataka pia wawafeke PKK wa w Syria ndio mana mzozo huu mgumu!!! Marekani anasapoti pkk w Syria kulinda visima na maeneo yao kwaiyo hii vita kwasasa Pkk nao wanaofu kubwa japo ni SUNN pengine Marekani na UTURUK walikubaliana mzozo usiende walipo PKK. Ikiwa mtakumbuka kipindi kile ktk mzozo Marekani aliwaacha njia panda awa PKK ikabidi Pkk waombe msaada wa Majeshi ya serikali ya ASSAD kwaiyo PKK awapo ktk madhehebu wanashililkiiana na yyte muimu usalama wao.. UTURUK yeye anatumiwa tu apo lkn inajua awezi fikia malengoyake kama pindi kile mwenyewe akaombo pooo kwa kufanya mkataba kule SOCH RUSSIA kwann ilibidi afanye mkataba nch3 RUSSIA IRAN na yeye mwenyewe UTURIUKA sababu izi apa ktk mzozo wa mwanzo Russia ilipogundua PKK y Syria imetelekezwa Marekani kimakusudi njama kati ya Uturuk na Marekani ili kumwachia Uturuki adhibiti ule mji shakushangaza apa Marekani walivo wanafiki na sio watu wakuwaamini walikuwa wanajua Uturuki inawaona awa PKK kuwa ni MAGAID inamana unawaacha washilika wako PKK kwa Uturuki ikawauwe wote!!! Kwaiyo RUSSIA akajua iyo njama kupitia ujasus wakaambiwa PKK waandike barua kuomba Majeshi ya Serikali waje kuwasaidia apo ndipo ikazaiwa ESTANA mkataba kule SOCHI Uturuki alipelekewa moto na akujua kilichojificha kuwa wale PKK sasa wapo pamoja na Serikali na Wajuba wa Hezbolah wamefika na ndio wanatoa kipigo. UTURUKI ikapiga esabu hii ndoa hatari kwangu PKK wapo IRAQ wanapigana awa Hezbollah wasije wakaenda na kule IRAQ apa SYRIA wajeda wangu wameuwawa kama kuku apana anaewamiliki awa Wahuni wa Hezbollah nani ni IRAN ndio ikaundwa ile ESTANA na Russia juzi kaiyona Uturuki kuwa inakiuka mkataba wa ESTANAA awa PKK wapo apo Syria Iraq ata Iran wapo wakiongezwa nguvu awa jamaa mjuwe UTURUKI atachapika sana japo nae atasaidiwa lkn galama itakuwa kubwa kwao,, ngoja tuone huu mzozo utaishaje wasasa pengine Uturuki kaona Russia yupo Biz kule!! ndio wkt apambanie ndotozao.'Alawites', Dhehebu la Bashiri ni dhehebu la Kishia, ndio maana linasaidiwa na Ayatolah Hezbola pamoja na Vikundi vya Kishia vya Iraq vinavyoungwa mkono na Ayatolah ambao wote ni Dhehebu la Kishia.
Erdoğan kwa upande mwingine ni Sunni yeye na hayo makundi ambayo mengine ni ya Kigaidi ni Madhehebu ta Sunni.
Wakurdi wao ni Sunni lakini lengo lao ni Full Autonomy kwenye Maeneo yao ambayo wanataka kuanzisha Nchi yao iitwayo Kurdistan.