Urusi na Iran hawawezi kukubali serikali ya Syria itoke madarakani

Asa mnaposema Israel imefeli vita imefeli wapi???, Cha kwanza Israel hakuomba ceasefire bali walioomba ceasefire ni ufaransa(France), marekani, kwa msukumo na malalamiko kutoka umoja wa mataifa(UN) kwa ku engage na viongozi wa Lebanon na Israel ili mapigani yasitishwe,,,ndio both sides zikakubali kusitisha mapigano.
Asa mnaposema Israel imefeli vita,JE IMEFELI WAPI?? na LEBANON kashinda wapi??
Naambatanisha.
View attachment 3166405
Nikisema vijana wa Afrika munafanya waafrika tudharaulike muelewe tuna maanisha binafsi sidhanii kama kuna sehemu nimesema israhell kashindwa vita ila pia hakuna sehemu utanipa ushahidi wa israhell kushinda vita hasa kama utanukuu maneno ya paka yalomfanya wapeleke jeshi Lebanon kama kashinda labda unambie kashindaje shindaje unasemaje israhell hajaomba sizi faya wakati kasaini na baraza la mawaziri wame approve kwanini wasingekataa kama wanavyo kataa kule Ghaza pia nakwambia tu hakuna kiongozi wa hizbullah alihusishwa kwenye hayo makubaliano ya sizi faya zaidi ya viongozi wa sirikali kama yupo mtaje kwa maana hii hata hizbullah hawakutaka mazungumzo pia
 
Nimepitia sana hili suala na kujiridhisha kuwa hili ni kujilisha upepo kwa wazungu,kuficha ukweli halisi,na kuna siku BBC walifichua hili tena UK,binti wa kizungu wa UK na hijab zake akipinga unachoamini, wazungu wanasilimu
Kwamba wewe ndio mwenye utafiti wa kweli sio
 
Nikisema vijana wa Afrika munafanya waafrika tudharaulike muelewe tuna maanisha binafsi sidhanii kama kuna sehemu nimesema israhell kashindwa vita ila pia hakuna sehemu utanipa ushahidi wa israhell kushinda vita hasa kama utanukuu maneno ya paka yalomfanya wapeleke jeshi Lebanon kama kashinda labda unambie kashindaje shindaje unasemaje israhell hajaomba sizi faya wakati kasaini na baraza la mawaziri wame approve kwanini wasingekataa kama wanavyo kataa kule Ghaza pia nakwambia tu hakuna kiongozi wa hizbullah alihusishwa kwenye hayo makubaliano ya sizi faya zaidi ya viongozi wa sirikali kama yupo mtaje kwa maana hii hata hizbullah hawakutaka mazungumzo pia
Asa hiyo ceasefire Israel ameiomba wapi??, naomba hayo maandishi au picha inaonyesha Israel wakiomba ceasefire..na pili swala la ceasefire ni shinikizo kutoka France,UN na marekani kwa njia ya kuongea na viongozi wa pande zote mbili nikimaanisha Israel na lebanon.asa hapo ni suluhisho tosha kuwa Israel hakuomba ceasefire..la tatu ni kwamba HEZBOLLAH ni kundi la linalo operate ndani ya Lebanon,,hivyo ndio maana viongozi wa Lebanon wakahusishwa kwenye ku saini.asa hao Hezbollah kundi la kigaidi Kama wale HAMAS wangewapatia wapi huku wanakaa wamejificha kwenye mahandaki???.
 
H

Ow abt Russia vs 🇺🇦 🇺🇦 mbona war ongoing wakristo mnapigana nyie kwa nyie vp makanisa mapta tatajengwaje
Kweni Vita vya RusoUkraine ni vya Dini?!
 
Achana na hizo copy na paste nimekuwekea ushahidi kutoka jarida maarufu la Israel wenyewe Yedioth Ahronoth umekataa habari kutoka X.

Wapi nimeomgelea kijiji kimoja?

Soma tena.

Israeli occupation forces have failed to capture even a single village in southern Lebanon, despite deploying over 50,000 troops in a month-long ground invasion, the Hebrew

Vikosi vya Israel vimeshindwa kukamata hata kijiji kimoja kusini mwa Lebanon, licha ya kupeleka zaidi ya wanajeshi 50,000 katika uvamizi wa ardhini uliodumu kwa mwezi mmoja.
Hizo habari nilizokupa sio copy and paste ni real.hizo zako ndio ume copy kwenye jarida halafu ukaleta hapa jukwaani

Tunapoongelea kushindwa vita maana yake ni kwamba amekuwa affected Sana na vita au vita imemuathiri zaidi.

Asa je mpka kufikia hatua ya ceasefire .
YUPI ALIYEDHULIKA SANA NA VITA(ALIYEUMIA SANA) Kati ya Israel na Lebanon (Hezbollah). ???
 
Hujui chochote endelea na ushabiki mandazi ulivyoniomba ushahidi nikajua najadiliana kwa hoja kumbe vihoja.
Sawa,Ila usidanganywe na hizo post za Twitter na majarida ambayo yako kwa mlengo wa kutetea wahusika,Kuna Open sources ambazo unaweza uka search mwenyewe,jaribu hata google au CHATGPT.
 
Asa hiyo ceasefire Israel ameiomba wapi??, naomba hayo maandishi au picha inaonyesha Israel wakiomba ceasefire..na pili swala la ceasefire ni shinikizo kutoka France,UN na marekani kwa njia ya kuongea na viongozi wa pande zote mbili nikimaanisha Israel na lebanon.asa hapo ni suluhisho tosha kuwa Israel hakuomba ceasefire..la tatu ni kwamba HEZBOLLAH ni kundi la linalo operate ndani ya Lebanon,,hivyo ndio maana viongozi wa Lebanon wakahusishwa kwenye ku saini.asa hao Hezbollah kundi la kigaidi Kama wale HAMAS wangewapatia wapi huku wanakaa wamejificha kwenye mahandaki???.
Vitu vingi ufahamu ungetumia huu uzi kuuliza kujifunza unauliza Hezbollah watawapata wapi unamalizia na kusema kundi la kigaidi wanaishi kwenye mahandaki.

Unajua kama Hezbollah wana wawakilishi kwenye bunge la Lebanon.

Nikuulize swali Baraza la Mawaziri lilipiga kura ya kusitisha vita na makubaliano kwa nini walipigq kura hiyo?
 
Sawa,Ila usidanganywe na hizo post za Twitter na majarida ambayo yako kwa mlengo wa kutetea wahusika,Kuna Open sources ambazo unaweza uka search mwenyewe,jaribu hata google au CHATGPT.
Wewe ndiyo unadanganywa na hiizo copy and paste unazoleta humu ndiyo maana hata sija hqja ya kuuliza unazikota wapi mimi nakupa ushahidi wa source mfano umekataa habari za X nimekuweka link ya site jarida la Israel la Yedioth Ahronoth, lakini bado unaendelea kubisha.
 
Vitu vingi ufahamu ungetumia huu uzi kuuliza kujifunza unauliza Hezbollah watawapata wapi unamalizia na kusema kundi la kigaidi wanaishi kwenye mahandaki.

Unajua kama Hezbollah wana wawakilishi kwenye bunge la Lebanon.

Nikuulize swali Baraza la Mawaziri lilipiga kura ya kusitisha vita na makubaliano kwa nini walipigq kura hiyo?
Any way usikwepe mada kuu.
Swali Ni Nani kadhulika Sana na kuumia sana kwenye hii vita Kati ya Israel na Lebanon?
 
Wewe ndiyo unadanganywa na hiizo copy and paste unazoleta humu ndiyo maana hata sija hqja ya kuuliza unazikota wapi mimi nakupa ushahidi wa source mfano umekataa habari za X nimekuweka link ya site jarida la Israel la Yedioth Ahronoth, lakini bado unaendelea kubisha.
Nikuulize swali.
Kwa mfano hapa Tanzania:,je unategemea au inawezekana jarida la BAKWATA likatetea regimen au mambo ya kikristo Ingawa ni nchi moja???,jibu ni HAPANA

VIilevile Israel ni nchi pana ambayo Kuna wayahudi, waarabu, wakristo waislamu na kadhaliko,: sio kila jarida mtu ambaye Yuko Israel anaunga mkono serikali ya Israel:,hivyo ni kawaida kuwa critised na baadhi ya majarida au media.
Ndio maana siamini habari hizo.
Bora GOOGLE au CHATGPT kwa sababu hazina favour ya upande wowote.

Choose to Agree or Continue to Argue.
 
Back
Top Bottom