Nikuulize swali.
Kwa mfano hapa Tanzania:,je unategemea au inawezekana jarida la BAKWATA likatetea regimen au mambo ya kikristo Ingawa ni nchi moja???,jibu ni HAPANA
VIilevile Israel ni nchi pana ambayo Kuna wayahudi, waarabu, wakristo waislamu na kadhaliko,: sio kila jarida mtu ambaye Yuko Israel anaunga mkono serikali ya Israel:,hivyo ni kawaida kuwa critised na baadhi ya majarida au media.
Ndio maana siamini habari hizo.
Bora GOOGLE au CHATGPT kwa sababu hazina favour ya upande wowote.
Choose to Agree or Continue to Argue.