Urusi na Iran hawawezi kukubali serikali ya Syria itoke madarakani

Wanaukumbi.

Waasi wanaoungwa mkono na Uturuki, Israel, Ulaya na Marekani wanatumiwa kuungusha utawala wa Rais Bashar al-Assad.

Ulaya na Marekani hapa wapambana na Urusi baada kushindwa kupambana naye Ukraine wamerudi tena Syria.
Hiyo ndio raha ya myahudi kila siku ni mshale tu mpaka mkae
 
Asubuhi ya kuamkia leo Urusi alituma ndege za kivita na kulipua maghara ya silaha ya waasi wanao mpinga Assad na kuteketeza wanamgambo zaidi 200.
Na yamekufa vibaya huku yamepanua midomo kama mbwa, maarabu akili afadhali mavi hata hayajitambui yanatumika hovyo hovyo yanauwawa kama yanaenda tu, kwaiyo Syria wanapigania nn wakati kuna kila taifa kwenye hayo makundi yao? Syria sio Libya Iran na Urusi wameapa kuwanyonya mavi yao yote na leo asubuhi kazi imeanzaπŸ˜€πŸ˜
 
Wanaukumbi.

Waasi wanaoungwa mkono na Uturuki, Israel, Ulaya na Marekani wanatumiwa kuungusha utawala wa Rais Bashar al-Assad.

Ulaya na Marekani hapa wapambana na Urusi baada kushindwa kupambana naye Ukraine wamerudi tena Syria.
Dunia ni hesabu ,maisha ya watu yanatumika kama nyenzo, binadamu hawana huruma
 
Huelewi kitu nyani ngabu wewe. Ficha ujinga wako
 
Sunni Shia Conflict inaanza tena, kuchinjana kwa Waisilamu wenyewe kwa wenyewe, theatre ni Syria huenda ikahamia na Iraq. sisi yetu macho na 🍿 na Soda baridi aina ya BibsiπŸ˜†πŸ˜

Jihadi wao kwa waoπŸ˜„πŸ˜

"Makafiri" watapunzishwa kidogo πŸ˜πŸ˜†
 
Detector Assad ana detect nini na huyo mwenzake wa RUSSIA?
 
Wanataka wampeleekee moto Putin pande zote mbili.
 
Wanaukumbi.

Waasi wanaoungwa mkono na Uturuki, Israel, Ulaya na Marekani wanatumiwa kuungusha utawala wa Rais Bashar al-Assad.

Ulaya na Marekani hapa wapambana na Urusi baada kushindwa kupambana naye Ukraine wamerudi tena Syria.
Kwa hiyo Turkey na Israel wameungana dhidi ya Mshirika wa Urusi na maslahi ya Urusi? Una maanisha Turkey na Urusi wamepingulua urafiki wao? Au mimi ndiye sijaelewa? Turkey na Iran na wao wamenuniana?
 
Wanaukumbi.

Waasi wanaoungwa mkono na Uturuki, Israel, Ulaya na Marekani wanatumiwa kuungusha utawala wa Rais Bashar al-Assad.

Ulaya na Marekani hapa wapambana na Urusi baada kushindwa kupambana naye Ukraine wamerudi tena Syria.
Assad aliua mtu ndo sababu haya yote yalianza mwaka 2011 , Ile nchi siyo ya Assad , mnavyozid kumtetea Assad ndivyo mnavyo chochea hii vita Wasyria wanateseka kisa Assad anang'ang'ania madarakani
 
a wa Rais Bashar al-Assad.

Ulaya na Marekani hapa wapambana na Urusi baada kushindwa kupambana naye Ukraine wamerudi tena Syria.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Ila Kobazi Israel na Ulaya zinaingiaje wakati vita ni Kobazi kwa kobazi
 
Israel na US wameona Lebanon wame failed sa wameamua kuwatumia hao ISIS eti Al Nusrah kumuangusha Assad πŸ˜„ Shenzi type kila anaye tumwa na US na Israel kudhuru nchi yake.
Wewe unafurahia kuona Waislam wenzako Wanauana kama kuku?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…