Urusi ndiyo iliyeweka vikwazo kwa Dunia, si Dunia iliyomwekea vikwazo Urusi

Mambo ya kwenye drafti haya.

Drafti la suluhu mtu anakuambia wewe ndiyo umetaka suluhu siyo mimi. Unamwambia basi shinda na hawezi vile vile.
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Rais wa Urusi Vladimir Putin alijadili ushirikiano wa kisiasa, kibiashara na kiuchumi, pamoja na athari za vikwazo vya Magharibi na Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika (AU) na Rais wa Senegal Macky Sall katika mji wa Sochi kusini mwa Urusi hapo jana (Ijumaa).

Putin na Sall walizungumzia masuala mbalimbali ya ushirikiano, ikiwa ni pamoja na umuhimu wa kuimarisha mazungumzo ya kisiasa pamoja na ushirikiano wa kiuchumi na kibinadamu kati ya Urusi na nchi za Afrika, Kremlin ilisema.

Putin alisema kuwa Urusi iko tayari kuendeleza uhusiano wa kibinadamu na nchi za Afrika, akitaja nia kubwa ya Urusi katika utamaduni wa Kiafrika.

Sall pia alibainisha athari za vikwazo vya Magharibi kwa Urusi, akiongeza kuwa nchi nyingi za Afrika ziliathiriwa moja kwa moja na mzozo wa Russia na Ukraine.

"Vikwazo dhidi ya Urusi vimezidisha hali hii, na kwa sasa hatuna nafaka kutoka Urusi, hasa ngano ... muhimu zaidi, hatuna mbolea ... na hii ina madhara kwa usalama wa chakula katika Afrika," Sall alinukuliwa na Kremlin akisema.
Russia kupitia vita hii anakwenda kujitanua Africa Sasa na kuuza bidhaa zake hakuna watu watakao taka kuona Wana kufa na njaa
 
Hivi mbona watu mna akili za kichawi hivi. Hivi Russia ana haki ya kuipiga nchi huru kabisa na wewe unasapot ujinga huu. Mbona Tanzania haikuachia Uganda Kagera ilivyoivamia Tanzania. Au Mimi ndo sijui hivi Tanzania una haki ya kuvamia nchi huru kama Burundi kwa sababu tu Tanzania ina nguvu zaidi ya Burundi. Au hapo ulipo jiran yako akiwa ana nguvu ana hak ya kukuvamia hapo kwako

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
[emoji1][emoji1]
FUcaG3QX0AApO_A.jpg
 
Sioni kwa namna yoyote ile dunia ikinufaika kwenye vikwazo ambavyo wao wanadai wamemwekea mbobezi na mbabe huyu wa dunia.

Kwangu mimi ninachoona ni ubinafsi na unafiki wa mataifa ya magharibi kwa dunia. Dunia inapata tabu kisa Ukraine, hii Ukraine ina nini hadi inafanya nchi nyingi za Afrika na Asia zinapata tabu kiasi hichi?

Kwa sasa duniani mafuta bei juu,vyakula bei juu,mbolea bei juu na kilicho na bei ndogo kunyamba tu basi.

Naiomba dunia waondoe vikwazo walivyoweka kwa Urusi ili mambo yaende sawa na Urusi acha amtwange Ukraine kwani hata ikifutika katika uso wa dunia bado dunia itaishi na haimtegemei yeye. Dunia inamtegemea Urusi kwa 87% na huyu ndie baba na babu wa ulimwengu huu.

Maisha magumu ni kwa sababu tu Urusi amechokozwa na tunapata tabu kweli kweli.
Kwa hiyo 'superpower' wa kweli amefahamika kwa sasa!
 
Hakuna cha kibanzi wala nini Damascus wakorofi. Huoni.wanavurumsha maroket upande wa Israel. Wanaenda kujitoa mhanga Israel. Hao wataachwa vipi ili-hali wao ndio wakorofi?. Tofauti na Ukraine ilikalia kimya. Nyie warusi kutwa kuitaka Ukraine isifanye mambo yake kwa uhuru. Nyie warusi mnataka muwaamulie nyie kenge cha kufanya Ukraine. Wapi umewahi kuona Tanzania inaamua namna ya watu wa Kenya wanavyotakiwa waishi kwa kufuata maamuzi ya Tz?
Wakati mwingine ukiwa misinformed au ukiwa hujui au huna hakika na usemacho kaa kimya. Niwekee link walau moja kuonesha Syria imetuma makombora au hata kupiga Risasi Israel. Usiongee tu roporopo.
 
Hivi mbona watu mna akili za kichawi hivi. Hivi Russia ana haki ya kuipiga nchi huru kabisa na wewe unasapot ujinga huu. Mbona Tanzania haikuachia Uganda Kagera ilivyoivamia Tanzania. Au Mimi ndo sijui hivi Tanzania una haki ya kuvamia nchi huru kama Burundi kwa sababu tu Tanzania ina nguvu zaidi ya Burundi. Au hapo ulipo jiran yako akiwa ana nguvu ana hak ya kukuvamia hapo kwako

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
Ukraine sio nchi huru. Kuna mifano kibao ya kuthibitisha hilo.
 
Hakuna cha kibanzi wala nini Damascus wakorofi. Huoni.wanavurumsha maroket upande wa Israel. Wanaenda kujitoa mhanga Israel. Hao wataachwa vipi ili-hali wao ndio wakorofi?. Tofauti na Ukraine ilikalia kimya. Nyie warusi kutwa kuitaka Ukraine isifanye mambo yake kwa uhuru. Nyie warusi mnataka muwaamulie nyie kenge cha kufanya Ukraine. Wapi umewahi kuona Tanzania inaamua namna ya watu wa Kenya wanavyotakiwa waishi kwa kufuata maamuzi ya Tz?
Pimbi wa akili
 
Hivi mbona watu mna akili za kichawi hivi. Hivi Russia ana haki ya kuipiga nchi huru kabisa na wewe unasapot ujinga huu. Mbona Tanzania haikuachia Uganda Kagera ilivyoivamia Tanzania. Au Mimi ndo sijui hivi Tanzania una haki ya kuvamia nchi huru kama Burundi kwa sababu tu Tanzania ina nguvu zaidi ya Burundi. Au hapo ulipo jiran yako akiwa ana nguvu ana hak ya kukuvamia hapo kwako

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo USA anahaki ya kuwalubuni wengine na kuweka silaha jirani kabisa na wenzie.??
 
Sioni kwa namna yoyote ile dunia ikinufaika kwenye vikwazo ambavyo wao wanadai wamemwekea mbobezi na mbabe huyu wa dunia.

Kwangu mimi ninachoona ni ubinafsi na unafiki wa mataifa ya magharibi kwa dunia. Dunia inapata tabu kisa Ukraine, hii Ukraine ina nini hadi inafanya nchi nyingi za Afrika na Asia zinapata tabu kiasi hichi?

Kwa sasa duniani mafuta bei juu,vyakula bei juu,mbolea bei juu na kilicho na bei ndogo kunyamba tu basi.

Naiomba dunia waondoe vikwazo walivyoweka kwa Urusi ili mambo yaende sawa na Urusi acha amtwange Ukraine kwani hata ikifutika katika uso wa dunia bado dunia itaishi na haimtegemei yeye. Dunia inamtegemea Urusi kwa 87% na huyu ndie baba na babu wa ulimwengu huu.

Maisha magumu ni kwa sababu tu Urusi amechokozwa na tunapata tabu kweli kweli.
Dunia gani unaiomba kuondoka vikwazo Urusi kupitia JF?
 
Back
Top Bottom