Urusi ndiyo iliyeweka vikwazo kwa Dunia, si Dunia iliyomwekea vikwazo Urusi

Mambo ya kwenye drafti haya.

Drafti la suluhu mtu anakuambia wewe ndiyo umetaka suluhu siyo mimi. Unamwambia basi shinda na hawezi vile vile.
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Russia kupitia vita hii anakwenda kujitanua Africa Sasa na kuuza bidhaa zake hakuna watu watakao taka kuona Wana kufa na njaa
 
[emoji1][emoji1]
 
Kwa hiyo 'superpower' wa kweli amefahamika kwa sasa!
 
Wakati mwingine ukiwa misinformed au ukiwa hujui au huna hakika na usemacho kaa kimya. Niwekee link walau moja kuonesha Syria imetuma makombora au hata kupiga Risasi Israel. Usiongee tu roporopo.
 
Ukraine sio nchi huru. Kuna mifano kibao ya kuthibitisha hilo.
 
Pimbi wa akili
 
Kwa hiyo USA anahaki ya kuwalubuni wengine na kuweka silaha jirani kabisa na wenzie.??
 
Dunia gani unaiomba kuondoka vikwazo Urusi kupitia JF?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…