Urusi ndiyo iliyeweka vikwazo kwa Dunia, si Dunia iliyomwekea vikwazo Urusi

Wakati mwingine ukiwa misinformed au ukiwa hujui au huna hakika na usemacho kaa kimya. Niwekee link walau moja kuonesha Syria imetuma makombora au hata kupiga Risasi Israel. Usiongee tu roporopo.
Maana yangu haikukuwa niandike Damascus, bali Parestina
 
Mkuu umetoa mfano hai kabisa, ila vijana wengi wa leo itakuwa ngumu kuelewa
 
Anayo haki zaidi ya %100
Fuatilia mambo kijana RUSSIA anatakiwa aongeze mapigo zaidi
Twendeni na RUSSIA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama wao UKRAINE sio wakorofi basi kaeni kwakutulia anyooshwe kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unafikili Burundi akileta maujinga ya kutaka kuatarisha usalama wa nchi yetu pendwa Tanzania tutamuacha?? Wakati mwingene tumiaga akili kufikili
 
Nchi hairuhusiwi kuivamia nchi nyingine hata kama anakuvamia na kinachotakiwa ni kulinda mipaka yako tu. Tz ilifanya kosa kuivamia Uganda na USA na mademu zake walikuwa kimya kwakuwa tu shehe Eid alikuwa mshirika wa Urusi na ujamaa.
 
Kwa hiyo Marekani anahaki ya kuingia Syria na kuweka jeshi lake kwenye nchi huru, Israel inahaki ya kupiga makombora Damascus kila mara mbona hao hawawekewi vikwazo.

Unaona kibanzi kwa mwenzako huoni boriti kwako
Huyo amerogwa na propaganda za wast kantriz
 
Kwa namna dunia ilikofikia mambo ya kupigana mavita ni ya kishamba.

Vita ina hasara mara nyingi kuliko faida, kama si vita ya Kagera leo tungekuwa mbali sana.
Kwa TZ hii sidhani kama upo sahihi
 
Halafu waweka vikwazo walivyo malofa wanambembeleza wakiyemeekea vikwazo awaruhusu watoe chakula alichokizuia Kwa anayetumiwa kuhujumu mrusi🤔
 
Naonahii
Nafaka hasa Ngano zinalimwa sana Ukrein na Urusi saivi Russia kashikilia maghala ya Nafaka za Ukrein hapo ndipo dunia inaposoma namba sasa, Ulaya inategemea Gas ya Urusi kwa 60% na tunaelekea kwenye baridi, mbona wataelewa tu
hii namba tunaisoma wote hadi Afrika
i
 
Vita ina hasara kwa wewe hata bomu la kurusha kwa mkono unategemea kupewa msaada ila nchi Kama urusi ni sawa yupi kwenye majaribio ya siraha zake na kuangamiza siraha chakavu
Silaha za kivita zinajaribiwa na juangamizwa baharini
 
Kwa hiyo Marekani anahaki ya kuingia Syria na kuweka jeshi lake kwenye nchi huru, Israel inahaki ya kupiga makombora Damascus kila mara mbona hao hawawekewi vikwazo.

Unaona kibanzi kwa mwenzako huoni boriti kwako
Kama SII Kwa uonevu kama alivyofanya, Nato /marekani na Ulaya Kule Libya,au alichokifanya marekani kule Iraq.Ila mrusi Kwa kuhujumiwa kupitia Ukraine ana haki ya kuhakikisha usalama wake.
 
Hata Tz ilipokuwa inapelekeshwa na Malawi juu ya lake Malawi i.e Nyasa ndipo Rwanda nae akaanza kutusokonyoa. Kitendo cha Ukraine kuhodhiwa na USA ndipo Putin akaona udhaifu na yy ametamani pia kumtawala
 
Kama SII Kwa uonevu kama alivyofanya, Nato /marekani na Ulaya Kule Libya,au alichokifanya marekani kule Iraq.Ila mrusi Kwa kuhujumiwa kupitia Ukraine ana haki ya kuhakikisha usalama wake.
Watu hawaangalii mambo kwa kina na kuona Urusi kama ni monster au devil ila Ukraine ndiye sababu na mkorofi kwa Urusi.
Putin nae anaichelewesha operation hii bila ya sababu za msingi.
 
Mbona Tanzania haikuachia Uganda Kagera ilivyoivamia Tanzania. Au Mimi ndo sijui hivi Tanzania una haki ya kuvamia nchi huru kama Burundi kwa sababu tu Tanzania ina nguvu zaidi
Tanzania yako ilikosea sheria za kimataifa!! yenyewe ilipiga mpaka Kampala .....ilipaswa kurudisha sehemu zake tu! zilizo chukuliwa na Idd amin!
 
Tanzania yako ilikosea sheria za kimataifa!! yenyewe ilipiga mpaka Kampala .....ilipaswa kurudisha sehemu zake tu! zilizo chukuliwa na Idd amin!
Nimemwambia na kilichosaidia ni kwakuwa ni Id Amin ambaye naye alivunja sheria nyingi tu za nchi ikiwemo kupindua serikali na kufanya majaribio ya kumuua rais aliyempindua madarakani otherwise cc saizi tungekuwa hatupo duniani maana hata mahindi ya Yanga tusingeyapata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…