Urusi ndiyo iliyeweka vikwazo kwa Dunia, si Dunia iliyomwekea vikwazo Urusi

Swali dogo tu. Kwa nini Afrika hatujajitegemea angalao kwa chakula. Kulikoni, nani wa kumlaumu - uvamizi wa Urusi kwa Ukraine. It sounds irresponsible and illogical
 
Watu tumelima ila tumeshindwa kumudu bei ya mbolea na mashamba yamepotelea polini
 
Swali dogo tu. Kwa nini Afrika hatujajitegemea angalao kwa chakula. Kulikoni, nani wa kumlaumu - uvamizi wa Urusi kwa Ukraine. It sounds irresponsible and illogical
Iko wazi nchi nyingi za Afrika hazitilii maanani masuala ya technology na ndio maana Tz tumeshindwa kutengeneza mbolea za kueleweka na tukaishia tu Minjingu Phosphorus Fertilizer na wabunifu waliishia hapo hadi kesho. Ila mbolea haihitaji rocket sciences kutengeneza ni vile tu kipaumbele cha nchi hii kwa viongozi wetu ni
1. Uchaguzi ujao
2. Upigaji
3. Starehe
 
Kiukweli Russia ndo ameweka vikwazo sio mwingine..
 
Swali dogo tu. Kwa nini Afrika hatujajitegemea angalao kwa chakula. Kulikoni, nani wa kumlaumu - uvamizi wa Urusi kwa Ukraine. It sounds irresponsible and illogical
Kabisa aisee, mafuta yatushinde hata mahindi tu, hatupo siriaz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…