Urusi: Rais Putin aagiza wanajeshi wapya 137,000 kuajiriwa

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Leo Agosti 25, 2022 Putin ametia saini amri ya kuongeza ukubwa Jeshi kutoka Wanajeshi Milioni 1.9 hadi Milioni 2.04 ikiwa ni miezi 6 tangu kuanza Vita baina yake na Ukraine.

Kwa mujibu wa agizo lililotolewa leo kupitia Wizara ya Sheria, ongezeko hilo linajumuisha ajira mpya za Wanajeshi 137,000 ambao wanatakiwa kutumika kuanzia Januari 1,2023.

Agizo hilo linakuja wakati nchi za Magharibi pamoja na Ukraine zikidai kuwa idadi halisi ya Wanajeshi wa Urusi waliouawa kwenye vita inayoendelea ni takriban 45,000.

=============

Russian President Vladimir Putin signed a decree on Thursday to increase the size of Russia's armed forces from 1.9 million to 2.04 million as the war in Ukraine enters its seventh month.

Moscow has not revealed any losses in the conflict since its first weeks, but Western officials and the Kyiv government say they number in the thousands.

The increase includes a 137,000 boost in the number of combat personnel to 1.15 million. It comes into effect on Jan 1, according to the decree published on the government's legislative portal.

The last time Putin fixed the size of the Russian army was in November 2017, when the number of combat personnel was set at 1.01 million from a total armed forces headcount, including non-combatants, of 1.9 million.

Russia has not said how many casualties it has suffered in Ukraine since the first weeks of the campaign, when it said 1,351 of its soldiers had been killed.

Western estimates say the actual number could be at least 10 times that, while Ukraine says it has killed or wounded at least 45,000 Russian troops since the conlfict - which Moscow calls a special military operation - started on Feb. 24.

Kyiv has also been reluctant to publish information on how many of its soldiers have died in the war, but on Monday the head of Ukraine's armed forces said almost 9,000 service personnel had been killed in a rare update.

REUTERS
 
... hivi kwanini asipeleke kikosi cha makomandoo wachache wakamaliza vita badala ya kuteketeza raia wake hivyo?

Hao 137,000 wanaoajiriwa leo na kuanza kutumika ndani ya muda mfupi ujao (less than 6 months) kwa zaidi ya 80% wanaenda "kustawisha" mapori ya Ukraine I can assure you!
 
Leo Agosti 25, 2022 Putin ametia saini amri ya kuongeza ukubwa Jeshi kutoka Wanajeshi Milioni 1.9 hadi Milioni 2.04 ikiwa ni miezi 6 tangu kuanza Vita baina yake na Ukraine.
-
Kwa mujibu wa agizo lililotolewa leo kupitia Wizara ya Sheria, ongezeko hilo linajumuisha ajira mpya za Wanajeshi 137,000 ambao wanatakiwa kutumika kuanzia Januari 1,2023.

Agizo hilo linakuja wakati nchi za Magharibi pamoja na Ukraine zikidai kuwa idadi halisi ya Wanajeshi wa Urusi waliouawa kwenye vita inayoendelea ni takriban 45,000.

=============================

Russian President Vladimir Putin signed a decree on Thursday to increase the size of Russia's armed forces from 1.9 million to 2.04 million as the war in Ukraine enters its seventh month.

Moscow has not revealed any losses in the conflict since its first weeks, but Western officials and the Kyiv government say they number in the thousands.

The increase includes a 137,000 boost in the number of combat personnel to 1.15 million. It comes into effect on Jan 1, according to the decree published on the government's legislative portal.

The last time Putin fixed the size of the Russian army was in November 2017, when the number of combat personnel was set at 1.01 million from a total armed forces headcount, including non-combatants, of 1.9 million.

Russia has not said how many casualties it has suffered in Ukraine since the first weeks of the campaign, when it said 1,351 of its soldiers had been killed.

Western estimates say the actual number could be at least 10 times that, while Ukraine says it has killed or wounded at least 45,000 Russian troops since the conlfict - which Moscow calls a special military operation - started on Feb. 24.

Kyiv has also been reluctant to publish information on how many of its soldiers have died in the war, but on Monday the head of Ukraine's armed forces said almost 9,000 service personnel had been killed in a rare update.

REUTERS
Wengi wenu humu hamna akili kwa kufikiria Russia anaongeza wanajeshi kwa sababu ya wanajeshi waliokufa ktk vita ya Ukraine. Russia a ajiandaa kwa vitakubwa sana kwani kuna dalili zote huko mbeleni vita kati ya Russia na NATO haikwepeki au kuna vita moja kubwa sana inakuja kutokea na sio mbali sana kutoka sasa
 
Vita kubwa ya kizazi hichi ni manuclear tu.
 
Hakuna vita vya nuclear zitakazo kuja kutokea?
Itapendeza ikiwa kama usemavyo. Ugali nyama iliyochanganywa na mboga za majani pilipili na maziwa ya mgando ni tamu, tungependa kuendelea kula.
 
Asee hata hivyo kwa kipindi hiki nimegundua Jambo.. warusi na Urusi si maskinii Kama tulivyoaminishwa..
Katika kipindi hiki Russia inafanya vitu vikubwa vihusuvyo uchumi mpaka inashangaza
Reuters wanasema Kuna ajira zinatolewa za kumwaga katika ksmpuni local iliyoamua kui -replace Mac -Donalds.
Ujenzi mkubwa katika destroyed , occupied Ukraine.
Uzalishaji was haraka isivyo kawaida was silaha ambao hats wamagharibi wanashangaa . T90 tanks zinazalishwa kibao kila siku. Hayo makombora ndo usiseme.kuna Jambo la kujifunza hapa
 
Wabongo [emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom