Urusi: Rais Putin asaini amri ya kukamatwa kwa Mali za Raia wa Marekani Nchini Urusi pamoja na Kampuni ili kufidia Vikwazo vya Marekani dhidi ya Mosco

Kwa nchi kubwa kama Urusi vikundi kama hivyo lazima viwepo kama marekani vile vile Watu ktk jimbo la Texas kila Leo wanapigania jimbo Lao kujitenga na Mexico City, ukubwa wa eneo sio tatizo kama una walinzi na ulinzi wa kutosha...Ukraine hayo majimbo manne ayasahau maisha yake yote hata kama mkataba wa Amani utafikiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…