Urusi: Rais Putin kuwalipa Tsh. 398,436, raia wanaohamia kutoka Ukraine

Urusi: Rais Putin kuwalipa Tsh. 398,436, raia wanaohamia kutoka Ukraine

Jamaa anakupiga,anamaliza anajenga,akimaliza kujenga ana wapa chakula na dawa,akimaliza anawapa Uhuru wa kupinga kura ya kuwa sehemu ya Urusi kisha mnapatiwa hati za kusafiri,badaye anawapa mafao.
Hii strategy anaweza chukua Ukraine nzima.
Yani uuliwe ndugu zako udanganywe na laki 3. Watu kama nyie sijui niwaweke kwenye kundi gani.
 
HARM zinafanya kazi naona mpk jamaa kaenda kuichomoa S300 ya Syria ije imsaide

Russia Pulls Its 'Syrian' S-300 SAM Battery, Ships It To Black Sea
IMG_20220828_000248.jpg
 
We naye mbwa Tu TSH laki tatu ndio nini ? ,Yaani huyo mpuuz kasababisha destruction na vifo halafu analipa watu TSH laki tatu ,wtf ,are you serious ?

Mnashangaza sana, kwani cost of living nchini Urusi ni wakiwango gani, labda tuanzie hapo kwanza na sio mnakimbilia ku-condemn Putin bila ya kufanya utafiti kwanza - kumbukeni "no research, no right to speak"- kumbukeni Putin is light years ahead of western leaders conspiracy - subirini atakuja kuwashangaza wengi.
 
Kwani kima Cha chini Tanzania ni sh ngapi mkuu. Serikalini 270,000 watu binafsi 90,000. Acha nyodo , hizo ni fedha nyingi kwa Kila mwezi.
Mkuu jua ,kuna kodi ,chakula,mtu akutoe hapa akupeleke Kenya ukaanze life na watoto alafu akupe lak 4 utaweza kweli?
 
Rais Vladimir Putin leo Agosti 27, 2022 amesaini amri ya kuwalipa kiasi hicho cha fedha watu wote walioondoka Ukraine na kuhamia Urusi wakiwemo Wastaafu, Wajawazito na Walemavu.

Amri hiyo iliyowekwa kwenye tovuti ya serikali, inaweka malipo ya pensheni ya kila mwezi kwa waliolazimika kuondoka nchini Ukraine tangu Februari 18, 2022.

Urusi pia imekuwa ikiwapa raia wa Ukraine Passport za kusafiria zenye uraia wa nchi hiyo, kitu ambacho Ukraine na Marekani zinadai ni juhudi za Putin kuchukua ardhi inayoishikilia tangu kuanza vita kati ya nchi hizo mbili.

=====================


Russian President Vladimir Putin on Saturday signed a decree introducing financial benefits for people who left Ukrainian territory to come to Russia, including pensioners, pregnant women and disabled people.

The decree, published on a government portal, establishes monthly pension payments of 10,000 roubles ($170) for people who have been forced to leave the territory of Ukraine since Feb. 18. Disabled people will also be eligible for the same monthly support, while pregnant women are entitled to a one-off benefit.

The decree says the payments will be made to citizens of Ukraine and the self-styled Donetsk and Luhansk People's Republics - two breakaway Russian-backed entities in eastern Ukraine that Moscow recognised as independent in February in a move condemned by Ukraine and the West as illegal.

On Feb. 18, Putin ordered every person who arrived in Russia from Donetsk and Luhansk to be given a payment of 10,000 roubles.

REUTERS
Mbona ni hela ndogo sana
 
Back
Top Bottom