Urusi: Rais Putin kuwalipa Tsh. 398,436, raia wanaohamia kutoka Ukraine

Urusi: Rais Putin kuwalipa Tsh. 398,436, raia wanaohamia kutoka Ukraine

🤔🤔☹️☹️Usinikumbushe kabisa yule kiumbe
Ndicho wanachopitia Warusi.
Putin anajitutumua lkn ameua uchumi wa watu wake. Mashirika mengi yamefungwa na yalikuwa yananufaisha Warusi moja kwa moja
 
Walioua uchumi wao wanajulikana mnaficha vichwa ardhini huku mawowowo mnayaacha juu hakuna mjinga asieelewa kwa sasa nani ana hali ngumu
Pale mjuaji mjinga anapojitutumua
 
Pale mjuaji mjinga anapojitutumua
FB_IMG_1656785906617.jpg
 
Jamaa anakupiga,anamaliza anajenga,akimaliza kujenga ana wapa chakula na dawa,akimaliza anawapa Uhuru wa kupinga kura ya kuwa sehemu ya Urusi kisha mnapatiwa hati za kusafiri,badaye anawapa mafao.
Hii strategy anaweza chukua Ukraine nzima.
[emoji1787]
 
Mnashangaza sana, kwani cost of living nchini Urusi ni wakiwango gani, labda tuanzie hapo kwanza na sio mnakimbilia ku-condemn Putin bila ya kufanya utafiti kwanza - kumbukeni "no research, no right to speak"- kumbukeni Putin is light years ahead of western leaders conspiracy - subirini atakuja kuwashangaza wengi.
Wana mhaho [emoji1787]
 
Mkuu jua ,kuna kodi ,chakula,mtu akutoe hapa akupeleke Kenya ukaanze life na watoto alafu akupe lak 4 utaweza kweli?
Kwanini usiweze kama nchi Yako imesha collapse!? Na hapo waweza kukuta Bado Kuna fursa za kupewa kazi ufanye then unalipwa
 
Back
Top Bottom