Urusi: Rais Putin kuwalipa Tsh. 398,436, raia wanaohamia kutoka Ukraine

Jamaa anakupiga,anamaliza anajenga,akimaliza kujenga ana wapa chakula na dawa,akimaliza anawapa Uhuru wa kupinga kura ya kuwa sehemu ya Urusi kisha mnapatiwa hati za kusafiri,badaye anawapa mafao.
Hii strategy anaweza chukua Ukraine nzima.
Yani uuliwe ndugu zako udanganywe na laki 3. Watu kama nyie sijui niwaweke kwenye kundi gani.
 
We naye mbwa Tu TSH laki tatu ndio nini ? ,Yaani huyo mpuuz kasababisha destruction na vifo halafu analipa watu TSH laki tatu ,wtf ,are you serious ?

Mnashangaza sana, kwani cost of living nchini Urusi ni wakiwango gani, labda tuanzie hapo kwanza na sio mnakimbilia ku-condemn Putin bila ya kufanya utafiti kwanza - kumbukeni "no research, no right to speak"- kumbukeni Putin is light years ahead of western leaders conspiracy - subirini atakuja kuwashangaza wengi.
 
Kwani kima Cha chini Tanzania ni sh ngapi mkuu. Serikalini 270,000 watu binafsi 90,000. Acha nyodo , hizo ni fedha nyingi kwa Kila mwezi.
Mkuu jua ,kuna kodi ,chakula,mtu akutoe hapa akupeleke Kenya ukaanze life na watoto alafu akupe lak 4 utaweza kweli?
 
Mbona ni hela ndogo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…