PUTIN.....GO GO. GO!!!!!!Kuanzia leo Urusi imeanza kutumia mbinu ya kivita ambayo haijawahi kutokea.Ameporomosha makombora ya masafa marefu na ya uhakika kupiga kambi kadhaa za kijeshi magharibi na kaskazini ya Ukraine.Hali hii imempelekea Boris Johnson wa Uiengereza kushauri Ukraine ikubali kufanya mazungumzo haraka na Urusi ili vita visitishwa hasa kutokana na athari mbaya za Uchumi kwa mataifa yote ya Ulaya.
Wanajeshi wa Ukraine wanazidi kukimbizana kukimbia kimbunga cha Urusi kwenye vita.
View attachment 2271608
Hujamwelewa Boris ,unakimbilia ushabiki tuu na mahaba Boris kasema kwa mwenendo wa vita unavyoenda ana hofu Ukraine wanaweza wakafanya maamuzi mabaya ya ya kutaka wayamalize kidiplomasia kitu ambacho Boris kadai ni kosa kubwa ,kumbuka viongoz wa ulaya wanahitaji hii vita ichukue mda kidogo ili mrusi achoke,sasa Russia anatumia mbinu za kuporomosha rocket 1000 kwa saa ili kuwavunja moyo waukrain ili wayamalize upesi maana mrusi naye hataki kuendelea na hii vita ishamchosha sana na yeyeKuanzia leo Urusi imeanza kutumia mbinu ya kivita ambayo haijawahi kutokea.Ameporomosha makombora ya masafa marefu na ya uhakika kupiga kambi kadhaa za kijeshi magharibi na kaskazini ya Ukraine.Hali hii imempelekea Boris Johnson wa Uiengereza kushauri Ukraine ikubali kufanya mazungumzo haraka na Urusi ili vita visitishwa hasa kutokana na athari mbaya za Uchumi kwa mataifa yote ya Ulaya.
Wanajeshi wa Ukraine wanazidi kukimbizana kukimbia kimbunga cha Urusi kwenye vita.
View attachment 2271608
haya wayasema wewe mkuu!!Hujamwelewa Boris ,unakimbilia ushabiki tuu na mahaba Boris kasema kwa mwenendo wa vita unavyoenda ana hofu Ukraine wanaweza wakafanya maamuzi mabaya ya ya kutaka wayamalize kidiplomasia kitu ambacho Boris kadai ni kosa kubwa ,kumbuka viongoz wa ulaya wanahitaji hii vita ichukue mda kidogo ili mrusi achoke,sasa Russia anatumia mbinu za kuporomosha rocket 1000 kwa saa ili kuwavunja moyo waukrain ili wayamalize upesi maana mrusi naye hataki kuendelea na hii vita ishamchosha sana na yeye
URUSI hayupo VITANIHujamwelewa Boris ,unakimbilia ushabiki tuu na mahaba Boris kasema kwa mwenendo wa vita unavyoenda ana hofu Ukraine wanaweza wakafanya maamuzi mabaya ya ya kutaka wayamalize kidiplomasia kitu ambacho Boris kadai ni kosa kubwa ,kumbuka viongoz wa ulaya wanahitaji hii vita ichukue mda kidogo ili mrusi achoke,sasa Russia anatumia mbinu za kuporomosha rocket 1000 kwa saa ili kuwavunja moyo waukrain ili wayamalize upesi maana mrusi naye hataki kuendelea na hii vita ishamchosha sana na yeye
We jamaa si tu ni muongo bali ni m'mbea yaani ukraine afanya maamuzi magumu dhidi ya urusi ni maamuzi gani hayo? Acha kula upepo wewe hautashiba! Yaani nchi imechakaa mifumo ya NATO yoote imeshindwa kumsaidia.Hujamwelewa Boris ,unakimbilia ushabiki tuu na mahaba Boris kasema kwa mwenendo wa vita unavyoenda ana hofu Ukraine wanaweza wakafanya maamuzi mabaya ya ya kutaka wayamalize kidiplomasia kitu ambacho Boris kadai ni kosa kubwa ,kumbuka viongoz wa ulaya wanahitaji hii vita ichukue mda kidogo ili mrusi achoke,sasa Russia anatumia mbinu za kuporomosha rocket 1000 kwa saa ili kuwavunja moyo waukrain ili wayamalize upesi maana mrusi naye hataki kuendelea na hii vita ishamchosha sana na yeye
Kuna siku hayo madude yalidungua makopokopo baada ya ku intercept bomu la urusi ndipo hilo bomu lilipogundua linataka kudunguliwa likaachia makopokopo ndiyo yakalengwa na kisha bomu lenyewe likaingia kwenye target na kuwabomoa chezea Urusi weye raha tupuuuuuMbona sielewi jamani! Sababu kule zimepelekwa siraha za Ulinzi toka USA, Germany, UK, Leo mwaniambia Mabomu yanapenya na kupiga kambi za Jeshi maali hayo madudu yapo.
PUTIN.....GO GO. GO!!!!!!
the world must be balanced scientifically......... technologically ....and militarily
Piga hao kenge mpaka maji wayaite mma!
Wapumbavu wakubwa sana hao wanaokaribisha maadui nyumbani na kuendekeza ushoga
Hizi ndizo habari ninazozipendaga sana. Habari tamu sana hiiKuanzia leo Urusi imeanza kutumia mbinu ya kivita ambayo haijawahi kutokea.Ameporomosha makombora ya masafa marefu na ya uhakika kupiga kambi kadhaa za kijeshi magharibi na kaskazini ya Ukraine.Hali hii imempelekea Boris Johnson wa Uiengereza kushauri Ukraine ikubali kufanya mazungumzo haraka na Urusi ili vita visitishwa hasa kutokana na athari mbaya za Uchumi kwa mataifa yote ya Ulaya.
Wanajeshi wa Ukraine wanazidi kukimbizana kukimbia kimbunga cha Urusi kwenye vita.
View attachment 2271608
- Dozens of Russian missiles have simultaneously hit military facilities in western and northern Ukraine, local officials say.
- View attachment 2271716