Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,286
- 39,418
Hujamwelewa Boris ,unakimbilia ushabiki tuu na mahaba Boris kasema kwa mwenendo wa vita unavyoenda ana hofu Ukraine wanaweza wakafanya maamuzi mabaya ya ya kutaka wayamalize kidiplomasia kitu ambacho Boris kadai ni kosa kubwa ,kumbuka viongoz wa ulaya wanahitaji hii vita ichukue mda kidogo ili mrusi achoke,sasa Russia anatumia mbinu za kuporomosha rocket 1000 kwa saa ili kuwavunja moyo waukrain ili wayamalize upesi maana mrusi naye hataki kuendelea na hii vita ishamchosha sana na yeye
Kama mbinu yenu mpaka Urussi achoke bhasi kubali NATO ni dhaifu. Kwahiyo mnasubiri mtu achoke[emoji1787][emoji1787][emoji1787], anyway mtasubiri mpaka yesu anarudi