We ndio kabisa huelewi sheria za kimataifa marekani ana limiting ya kutoa silaha ,kwenda Ukraine siyo kila silaha anaruhusiwa kusaidia ,anatakiwa atoe silaha za kujihami tuu.ndio maana silaha alizompa juz ameomba ahakikishiwe kwamba ni za kijilinda siyo za kushambulia ndani ya Russia ,haya mambo yako kikanuni wewe unaleta utopolo wa kwenye kahawa ,aibu sana unatoa mada dhaifu hivi,kasome vizuri maazimio ya kimataifa kuhusu mambo ya vita ,ingekua may be Ukraine ni NATO hapo USA angeingia direct, ila kwa Ukraine hawez ingia direct wala kutoa silaha nzito za masafa,wala ndege,wala meli.