Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaouliwa ni MAGAIDI tena wanauliwa nataifa TEULE linalopenda haki MKUUTaifa teule linatumia mabomu kuua watu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna vitu nachanganya..... Kwani limeteuliwa na kina nani?
Nilikuwa najaribu kubadili swali langu kwa taifa teule la Israel, taifa ambalo Waislam wanalaani mauaji ya Waislam na Wakkristo wa Kipalestina lakini Wakristo wa Tanzania wanasapoti mauaji hayo bila kujali kati ya wanaouwawa na Wakristo wenzao wamo na Waisrael hao hawaipiganii Jerusalem sababu ya Wakristo au Injili bali wanapigania Uyahudi na kitabu chao kitakatifu Torah.Wanaouliwa ni MAGAIDI tena wanauliwa nataifa TEULE linalopenda haki MKUU
ULIMWENGU mzima unaelewa kua RUSSIA niwateule kasoro watu wachache kama wewe
Kuua kwamabomu simbaya ikiwa unaua MIGAIDI kama ya UKRO NATO
Sent using Jamii Forums mobile app
JF imevamiwa na watoto!!!!mkuu huo ushoga bila shaka baba yako alifirwa ,maana siyo kurudia kila sehemu
Kwa hiyo Ukraine ni MLEMAVUHizi ni hasira za kupigwa nchi za Kiarabu.
Unapigana na mlemavu halafu unajivunia una nguvu. Hiyo ni akili kweli?
Unapigana na Ukraine ili uchukue nini? Hayo ni matumizi mabaya ya akili na mali.
Katika mataifa yenye akili duniani ni Marekani, China na Uingereza. Hao ndiyo wanaishi kibepari.
🥱[emoji3526][emoji28][emoji28][emoji28]Piga hao kenge mpaka maji wayaite mma!
Wapumbavu wakubwa sana hao wanaokaribisha maadui nyumbani na kuendekeza ushoga
Imemchosha !? Kakuambia lini !? Ila tz [emoji706][emoji706][emoji28][emoji28]Hujamwelewa Boris ,unakimbilia ushabiki tuu na mahaba Boris kasema kwa mwenendo wa vita unavyoenda ana hofu Ukraine wanaweza wakafanya maamuzi mabaya ya ya kutaka wayamalize kidiplomasia kitu ambacho Boris kadai ni kosa kubwa ,kumbuka viongoz wa ulaya wanahitaji hii vita ichukue mda kidogo ili mrusi achoke,sasa Russia anatumia mbinu za kuporomosha rocket 1000 kwa saa ili kuwavunja moyo waukrain ili wayamalize upesi maana mrusi naye hataki kuendelea na hii vita ishamchosha sana na yeye
Kwa hiyo Ukraine ni MLEMAVU
Akili zinaanza kurudi dozi imeupata ugonjwa vzr. Baadae naye NATO ataitwa kipofu
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Wanaouliwa ni MAGAIDI tena wanauliwa nataifa TEULE linalopenda haki MKUU
ULIMWENGU mzima unaelewa kua RUSSIA niwateule kasoro watu wachache kama wewe
Kuua kwamabomu simbaya ikiwa unaua MIGAIDI kama ya UKRO NATO
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuona gaynato wa kwa mparangenaona mrusi wa kishmundu unajitutumua kuandika pumba
Kwani taifa teule lenu la Israel kule Palestine wanauwa watu kwa kutumia nn si hayo hayo mabomu km taifa teule la RussiaTaifa teule linatumia mabomu kuua watu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna vitu nachanganya..... Kwani limeteuliwa na kina nani?
Mie simo humo MKUUNilikuwa najaribu kubadili swali langu kwa taifa teule la Israel, taifa ambalo Waislam wanalaani mauaji ya Waislam na Wakkristo wa Kipalestina lakini Wakristo wa Tanzania wanasapoti mauaji hayo bila kujali kati ya wanaouwawa na Wakristo wenzao wamo na Waisrael hao hawaipiganii Jerusalem sababu ya Wakristo au Injili bali wanapigania Uyahudi na kitabu chao kitakatifu Torah.
Pole kama utakuwa ni mmoja wao [emoji109].
RUSSIA TAIFA TEULEBaada ya nchi za kiislamu kupigwa vibaya sana. Waislamu wote wakarudi kuisupport Iran na sasa Russia. Pamoja na China kuwanyanyasa sana Waislam ila wanaipenda vibaya sana.
Taifa teule ni Israel
Nashukuru MKUU kwakumuelewesha huyo mwambaKwani taifa teule lenu la Israel kule Palestine wanauwa watu kwa kutumia nn si hayo hayo mabomu km taifa teule la Russia
Kwani sasa hivi mrusi kampita nini cha maana mchina? Russia ni wa kawaida tu mbele ya china.Nchi zenye akili hazipigani vita visivyo na faida. Masikini Putin, sasa unapigana vita na Ukraine ili upate nini?
China kavumbua Komputa yenye akili km binadamu. Miaka 40 mbele China atakuwa juu kushinda Urusi
1. Kumba Kyiv magorofa yanajaa MAGAIDI? Na supamaket inajaa MAGAIDI?Wanaouliwa ni MAGAIDI tena wanauliwa nataifa TEULE linalopenda haki MKUU
ULIMWENGU mzima unaelewa kua RUSSIA niwateule kasoro watu wachache kama wewe
Kuua kwamabomu simbaya ikiwa unaua MIGAIDI kama ya UKRO NATO
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu aya mambo ni mapana sana, tatizo ni kwamba ulaya na marekani tangu enzi na enzi wanaona wao ndo wana haki na kila kitu duniani, fatilia mifumo yao ya biashara za kinyonyaji, ukoloni, utumwa na mengine mengi waliyofanya kwa kuona binadamu wengine hawana haki na uhuru na rasilimali zao.Nchi zenye akili hazipigani vita visivyo na faida. Masikini Putin, sasa unapigana vita na Ukraine ili upate nini?
China kavumbua Komputa yenye akili km binadamu. Miaka 40 mbele China atakuwa juu kushinda Urusi