Narumu kwetu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 1,888
- 4,489
We ndio kabisa huelewi sheria za kimataifa marekani ana limiting ya kutoa silaha ,kwenda Ukraine siyo kila silaha anaruhusiwa kusaidia ,anatakiwa atoe silaha za kujihami tuu.ndio maana silaha alizompa juz ameomba ahakikishiwe kwamba ni za kijilinda siyo za kushambulia ndani ya Russia ,haya mambo yako kikanuni wewe unaleta utopolo wa kwenye kahawa ,aibu sana unatoa mada dhaifu hivi,kasome vizuri maazimio ya kimataifa kuhusu mambo ya vita ,ingekua may be Ukraine ni NATO hapo USA angeingia direct, ila kwa Ukraine hawez ingia direct wala kutoa silaha nzito za masafa,wala ndege,wala meli.We jamaa si tu ni muongo bali ni m'mbea yaani ukraine afanya maamuzi magumu dhidi ya urusi ni maamuzi gani hayo? Acha kula upepo wewe hautashiba! Yaani nchi imechakaa mifumo ya NATO yoote imeshindwa kumsaidia.
Mrusi katumia Strategic bomber ie TU 160 pia fighter jets like SU 35 unadhani kwanini USA hapeleki strategic bombers zake eg B 2 Lancer stratofortress na figher jets kama F 35? Unadhani kwanini ufaransa hajapeleka Rafale? Jibu ni kwamba haziwezi kufanya kitu mbele ya Urusi na wanaogopa kwamba wakizipeleka soko lake litaishia hapo.
Halafu ukumbuke hata wakubwa zako wana uelewa juu ya mziki wa urusi na wanaujua tangu kitambo