Urusi sasa amecharuka, ni mvua za makombora kaskazini na magharibi ya Ukraine. Boris amekubali yaishe

Khidego asante kutukumbusha kuhusu ubaya wa ukoloni lakini tafadhali usimsahau mkoloni mkubwa duniani - ambaye ni Urusi!
Urusi kiasili ni eneo katribu na Moscow. Katika karne zilizopita ilifaulu kutwaa nchi nyingi na kuzifanya koloni zake. Ni kweli, haikufika Afrtika. Sanbabu yake ni ilikuwa na kazi kushambulia nchi za Asia ya Kati na Asia Kaskazini-Mashariki. Sehemu zilifaulu kupata uhuru mwaka 1991. Sasa Putin anajaribu kurudisha ukoloni Ukraine.
Uingereza ilipaswa kuachana na koloni zake.
Urusi bado. Hata ndaniya mipaka ya leo kuna koloni nyingi.
Ona ramani ya upanuzi wa Urusi:
 
SSH aliwahi tudanganya hili... Nchi gani afrika inategemea chakula Ukraine?😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…