Urusi: Sergey Lavrov asema hawapingi kukaa na Ukraine kwenye meza ya mazungumzo (Negotiation)

Urusi: Sergey Lavrov asema hawapingi kukaa na Ukraine kwenye meza ya mazungumzo (Negotiation)

Anachofanya Israel, marekani na hao mabwana zako Wa ulaya hukioni kwan hao Ukraine ndugu zako ushawahi sikia wao wanasikitika kuhusu vita za huku Africa Fanya yako kijana.
umetaja majina ya nchi nyingi ila sijaona ukiitaja nchi tunayoizungumzia hapa kuvamiwa nayo ni Ukraine , sasa tunakuomba ustick kweny mada je ni sahihi Urusi kuivamia Ukraine halaf sasa hv ndo akumbuke suluhu
 
Tokea mwanzo... Kabla ya hii SMO, Russia walijitahidi Sana kufanya mapatana, lakini Zelensy na US walikataa.

Always, Russia amekuwa positive na ishu ya negotiations.
ushabiki ukizid utaolewa , Biden alionya na Putin alisema hana mpango wa kuivamia Ukraine , pia rais wa ufaransa na counsellir wa Austria bila kusahau Waziri mkuu wa Israel wote walienda Moscow ila Putin alichomoa , sasa tuambie lin Putin alitaka suluhu ?
 
Miaka 25 Urusi amehubiri wokovu kwa Ukraine.
miaka 25 Ukraine alikubali kuwa Neutral kuanzia uhalali wa kuwa mshirika wa umoja wa ulaya , huku Urusi akipambana kujiunga na umoja wa ulaya ila yeye hatak Ukraine isijiunge na umoja wa ulaya , km umoja wa ulaya ni tishio kwa Urusi kwann Urusi anataka kujiunga na maadui zake ambao ni umoja wa ulaya ?
 
Tokea mwanzo... Kabla ya hii SMO, Russia walijitahidi Sana kufanya mapatana, lakini Zelensy na US walikataa.

Always, Russia amekuwa positive na ishu ya negotiations.
We mapatano gani yaani cha kwangu kilichobaki ndio kikae mezani kujadiliwa ila ulichoniibia ndo cha kwako umejimilikisha tayari.

Wapigwe tu narudia tena warusi wapigwe tu

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23]
Screen_Capture_Img_768.jpg


Sent from my BBF100-6 using JamiiForums mobile app
 
Wapii. Kabla ya vita kuanza Zelenskyy alimsihi Sana Putin. EU ilimsihi sanavPutin asianzishe vita. Hadi Macron alienda Kremlin.
Mnaoiponda urusi sijui mnaelewa siasa za nje za marekan, hii vita mrusi anajitetea ni sawa na rwanda waje zanzibar kuungana nayo unafikiri tanganyika itakubali
 
Back
Top Bottom