Urusi: Sergey Lavrov asema hawapingi kukaa na Ukraine kwenye meza ya mazungumzo (Negotiation)

Urusi: Sergey Lavrov asema hawapingi kukaa na Ukraine kwenye meza ya mazungumzo (Negotiation)

ushabiki ukizid utaolewa , Biden alionya na Putin alisema hana mpango wa kuivamia Ukraine , pia rais wa ufaransa na counsellir wa Austria bila kusahau Waziri mkuu wa Israel wote walienda Moscow ila Putin alichomoa , sasa tuambie lin Putin alitaka suluhu ?
Hivi huu mgogoro mnaujua kweli?
 
Mnaoiponda urusi sijui mnaelewa siasa za nje za marekan, hii vita mrusi anajitetea ni sawa na rwanda waje zanzibar kuungana nayo unafikiri tanganyika itakubali
lin USA iliunganikana na Ukraine , nyiny watu ni nus vchaaa , mtu kavamia unasema anajitetea , Latvia na Estonia ni majirani wa Urusi na wapo NATO , kwann hajawavamia hao ?
 
Hivi huu mgogoro mnaujua kweli?
acha ukilaza wewe , Putin hana sabab za msingi zaid ya kutaka kujitanua , urafik haulazimishwe kwa mtutu , ukijua jirani yako ni hatari akijiunga na adui yako basi nawe mweshimu ili azid kuwa na wewe karibu ila kupandikiza puppet na kumega jimbo la Crimea kisha kuivamia kbs huo ni uchokoz , maana hiz suluhu anazitaka sasa hv ilibidi afanye hapo awali kabla ya kumega Crimea kisha kuvamia kabisa
 
Washenzi sana; unavamia nchi ya watu; unamwaga damu zisizo na hatia halafu unaleta ujinga! Putin alaaniwe milele.
Na hata wakikaa meza moja tunapindua matokeo hakuna eneo linarudi😅😅😅😅
 
Mnaoiponda urusi sijui mnaelewa siasa za nje za marekan, hii vita mrusi anajitetea ni sawa na rwanda waje zanzibar kuungana nayo unafikiri tanganyika itakubali
... mfano wako mbona hauendani Mkuu? Zanzibar ni sehemu ya Tanzania; obviously Tanganyika haitakubali kirahisi endapo Rwanda itaungana na Zanzibar. Ila itakuwa ajabu Tanzania iivamie Rwanda simply Rwanda inataka kujiunga na ECOWAS! Itakuwa ajabu sana.
 
We kiaz kweli kwa hiyo Zanzibar na Ukraine ni sawa
Mnaoiponda urusi sijui mnaelewa siasa za nje za marekan, hii vita mrusi anajitetea ni sawa na rwanda waje zanzibar kuungana nayo unafikiri tanganyika itakubali
 
Wapii. Kabla ya vita kuanza Zelenskyy alimsihi Sana Putin. EU ilimsihi sanavPutin asianzishe vita. Hadi Macron alienda Kremlin.
Wapo watu hawafuatilii jambo hilo na sasa wanadanganyana au wanakurupuka eti Mrussi (Putin) ni mpenda amani. Ingekuwa ni vyema wakasema ni mpenda vita na ndiye aliyeanzisha vita kwa kuivamia Ukraine au watu hawa waulizwe Majeshi ya Urussi yaliyoko ndani ya nchi ya Ukraine yapo kwa minajili gani? Walialikwa na nani? Mbona wanafanya mauaji,wanabomoa majumba, wanaharibu miundombinu n.k n.k?
 
mazungumzo ya nini.wakati wao ndo wameanzisha vita
Naam! Na wao ndo wanatakiwa waimalize vita kama walivyoianzisha. Vinginevyo watawezeshwa kuimaliza hiyo vita walioianzisha na huenda vita ikamalizikia Moscow.
 
Back
Top Bottom