Urusi: Sergey Lavrov asema hawapingi kukaa na Ukraine kwenye meza ya mazungumzo (Negotiation)

Urusi: Sergey Lavrov asema hawapingi kukaa na Ukraine kwenye meza ya mazungumzo (Negotiation)

Naam! Na wao ndo wanatakiwa waimalize vita kama walivyoianzisha. Vinginevyo watawezeshwa kuimaliza hiyo vita walioianzisha na huenda vita ikamalizikia Moscow.
Sawa MKUU
-5834721704956508968_121.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
So, Putin anafanya anayoyafanya kwa kuwa Israel inafanya hivyo au?
Halo inamaana laana yako imeishia kwenye simu au PC uliyotumia kupost. Inshort wazungu wanatambua Africa continent exists, lakini halina binadamu
 
Mnaoiponda urusi sijui mnaelewa siasa za nje za marekan, hii vita mrusi anajitetea ni sawa na rwanda waje zanzibar kuungana nayo unafikiri tanganyika itakubali

Anajitetea kwa kuua Rais wa jirani take?. Wamnyooshe huyo mpumbavu. Ameharibu amani Sasa yamemkuta, alidhani ataichukua Ukraine yote kwa siku moja, Leo yamemtoka puani.
 
Na mkataba waliwekeana wasijitanue kuongeza eneo hata nchi mbili,UN na papa(kunradhi) walikua wapi?

Wakati Putin anaichukua Crimea ulikuwa wapi?. Mwaka 2014. Yani urusi anamwambia mwenzake asijitanue halafu yet anajitanua kwa kuchukua Crimea na baadae anataka kujiunga EU lakini hataki Ukraine ajiunge EU huyo apigwe vikwazo vya kufa mtu na Vita viendelee tuone ujanja wake muuaji mkubwa mjaa laaana urusi.
 
Na hata wakikaa meza moja tunapindua matokeo hakuna eneo linarudi😅😅😅😅

Urusi ameanza kubanwa kwenye Kona. Unafanya uvamizi kwa sifa , halafu leo unaleta mambo ya mazungumzo. Huyo Putin amezoea udikteta nchini kwake anakoongoza ngombe andhani ataifanya hivyo Ukraine.
 
Hata mi nashangaa. Urusi nayoijua mimi ndo ipigane naka usa tu

Hata Mimi mpaka nashangaa urusi imejishushia heshima kwa kukimbia mapambano Kharkiv dhidi ya Ukraine. Ila walichowafanyia Wanajeshi wake sio vizuri. Unawatupa Wanajeshi wako kwenye kifaru kinachokimbia halafu mwishowe wote mnakufa kwa ajali, kweli Urusi imejiaibisha.
 
Hii
Tokea mwanzo... Kabla ya hii SMO, Russia walijitahidi Sana kufanya mapatana, lakini Zelensy na US walikataa.

Always, Russia amekuwa positive na ishu ya negotiations.
Hii ilikuwa ni mwezi wa tatu
Screenshot_20220912-205147_Twitter.jpg
 
Madikteta siku zote lazima yaanzishe vurugu na kuleta umauti.
Natamani Sana sehemu zote zenye Vita, wakae mezani wayamalize. Watu wasio na hatia wanateseka Sana, wana kufa kinyama Sana kwasababu ya maslahi ya Watu Fulani fulani. Hii ni mbaya Sana.
 
Back
Top Bottom