Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Sawa MKUUNaam! Na wao ndo wanatakiwa waimalize vita kama walivyoianzisha. Vinginevyo watawezeshwa kuimaliza hiyo vita walioianzisha na huenda vita ikamalizikia Moscow.
Anachofanya Israel, marekani na hao mabwana zako Wa ulaya hukioni kwan hao Ukraine ndugu zako ushawahi sikia wao wanasikitika kuhusu vita za huku Africa Fanya yako kijana.
Halo inamaana laana yako imeishia kwenye simu au PC uliyotumia kupost. Inshort wazungu wanatambua Africa continent exists, lakini halina binadamuSo, Putin anafanya anayoyafanya kwa kuwa Israel inafanya hivyo au?
Mnaoiponda urusi sijui mnaelewa siasa za nje za marekan, hii vita mrusi anajitetea ni sawa na rwanda waje zanzibar kuungana nayo unafikiri tanganyika itakubali
... ha ha ha! Yule jamaa sikuelewa upumbavu alio-post kwa kweli! Ndio maana kila anayemjibu anamjibu kwa mtindo wa kumuuliza swali na hajajibu hata moja.Kwa hivyo ni halali Uganda kuivamia Tanzania kisa Israel anaivamia palestina?.
Na mkataba waliwekeana wasijitanue kuongeza eneo hata nchi mbili,UN na papa(kunradhi) walikua wapi?
Na hata wakikaa meza moja tunapindua matokeo hakuna eneo linarudi😅😅😅😅
Nitajie vita moja US kapigana mwenyewe
Hata mi nashangaa. Urusi nayoijua mimi ndo ipigane naka usa tu
Swali zuri.Kwa hivyo ni halali Uganda kuivamia Tanzania kisa Israel anaivamia palestina?.
Hii ilikuwa ni mwezi wa tatuTokea mwanzo... Kabla ya hii SMO, Russia walijitahidi Sana kufanya mapatana, lakini Zelensy na US walikataa.
Always, Russia amekuwa positive na ishu ya negotiations.
Ukiufanya utamaduni wako ukawa dini wafuasi lazima wawe wehu.
Sent from my BBF100-6 using JamiiForums mobile app
Natamani Sana sehemu zote zenye Vita, wakae mezani wayamalize. Watu wasio na hatia wanateseka Sana, wana kufa kinyama Sana kwasababu ya maslahi ya Watu Fulani fulani. Hii ni mbaya Sana.