Urusi: Ukraine imejaribu kumuua Rais Putin kwa shambulizi la drone Ikulu ya Kremlin

Urusi: Ukraine imejaribu kumuua Rais Putin kwa shambulizi la drone Ikulu ya Kremlin

Kuna mawili,
1.Ukraine imekuwa desperate kuona Bakhmut inaanguka,kaamua liwalo naliwe.
2. Huenda ni inside job ya Urusi kuhalalisha kutangaza vita kamili.
Anyway,Kwa Putin ajifunze sasa,anacheka na kima sasa anavuna mabua.
 
Haina shida muhimu nayo iwe magofu raia wachukie kinachofuata mtajuana wenyewe ila huu mwaka hauishi kichaa wenu atakuwa amepelekwa mbele za Haki kujibu mashtaka yake.
Teh tena inaweza ikawa urusi imejitekenya yenyewe ipate sababu ya kuwachapa..... Maana wameshambulia ila shambulio limefeli
 
Back
Top Bottom