Mkuu vikwazo vimemuathiri putini juzi amekiri vikwazo vya west sasa vinaanza kuiathiri Urusi, US toka vita inaanza walipitisha badget ya miaka 5 kumshughulikia putin hivyo sasa ndio kwanza mwaka, putini alipotangaza ataivamia Ukrean alisema atatumia 72hrs tu kumaliza kila kitu Ukrean lakini baadae ngoma alipoona ni ngumu akasema miezi 6 sasa mwaka umeisha anapigana kwa hasara
Juzi juzi Urusi wamepitisha sheria Wananchi wa Russia kukatwa mishahara yao 2% ili wachangie gharama za vita ukrean, Vita ameianzisha Putin lakini sasa wanaenda kuchangishwa wananchi wa Urusi, hivyo tutarajie njaa Urusi, Warusi waliandama mpaka na kuwekwa jela kwa maelfu kupinga Urusi kuvamia majirani zao lakini Putin hakusikia sasa wananchi wake ndio wanalipa price ya vita.
Kama haitoshi ilibidi apeleke raia wake vitani kwa nguvu alipwapa mikataba na wengine walikimbia kusikojulikana na wafungwa baada ya uhaba wa wanajeshi wake kuuliwa kama kuku, na kundi la Wagner group kiongozi wao ametangaza kujitoa Bakhmut mana hawana silaha kila siku wanauliwa zaidi ya 1000 na kuziweka maiti kwenye coffin majeneza na kurejesha maiti walikotoka.