Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
Choka mbaya wamagharibi wangekua wanalialia na vikwazo........ Tena vita kua ndefu imekua advantage kwa urusi. Kwenye kuishusha dola na kuipa nguvu BRICSHana lolote toka anaivamia Ukrean anasema mpaka sasa choka mbaya, nikikutajia ndaro alizosema toka vita inaanza nitajaza ukurasa hapa, kesha ami yako putin
Okay, mchepuko Amina!Sawa dada ashura ndala fupi
Oh hoo!!!Zelensky kaamza kujamba Jamba [emoji16][emoji16][emoji16]
#BREAKING Ukraine says it had 'nothing to do' with alleged Kremlin drone attack
Hizo ndio tabia za Putin, False Flag Operations, na kwa mtindo huo ndivyo alivyoanzisha vita pia.Ingekuwa Russia inashambulika kirahisi hivyo sasa hv hata haipo!
Kuna kitu kinatengenezewa uhalali hapo........tutakijua na kukiona hv punde!!
Mkuu vikwazo vimemuathiri putini juzi amekiri vikwazo vya west sasa vinaanza kuiathiri Urusi, US toka vita inaanza walipitisha badget ya miaka 5 kumshughulikia putin hivyo sasa ndio kwanza mwaka, putini alipotangaza ataivamia Ukrean alisema atatumia 72hrs tu kumaliza kila kitu Ukrean lakini baadae ngoma alipoona ni ngumu akasema miezi 6 sasa mwaka umeisha anapigana kwa hasaraChoka mbaya wamagharibi wangekua wanalialia na vikwazo........ Tena vita kua ndefu imekua advantage kwa urusi. Kwenye kuishusha dola na kuipa nguvu BRICS
Putin anajitekenya na kucheka mwenyewe hii ni wazi anatafuta sababu ya kushambulia zaid raia Ukraine.Kremlin yenyewe ndo imepigwa na drone 2
Haijulikani kama ni Ukraine au Russia imeamua jitekenya na kucheka
Hawezi....muoga.Duh. Hawa watoto wa Zelensky Mkandamizaji inaonekana wamejichokea kuishi. Ngoja putin awasaidie kwenda kwa baba kwa haraka na wepesi zaidi
Angalia uchumi wa urusi na nchi za ulaya magharibi wakina nani wanasota,,,, Ufaransa kwa sasa ni mwendo wa maandamano tu. Hali ngumu ya maishaMkuu vikwazo vimemuathiri putini juzi amekiri vikwazo vya west sasa vinaanza kuiathiri Urusi, US toka vita inaanza walipitisha badget ya miaka 5 kumshughulikia putin hivyo sasa ndio kwanza mwaka, putini alipotangaza ataivamia Ukrean alisema atatumia 72hrs tu kumaliza kila kitu Ukrean lakini baadae ngoma alipoona ni ngumu akasema miezi 6 sasa mwaka umeisha anapigana kwa hasara
Juzi juzi Urusi wamepitisha sheria Wananchi wa Russia kukatwa mishahara yao 2% ili wachangie gharama za vita ukrean, Vita ameianzisha Putin lakini sasa wanaenda kuchangishwa wananchi wa Urusi, hivyo tutarajie njaa Urusi, Warusi waliandama mpaka na kuwekwa jela kwa maelfu kupinga Urusi kuvamia majirani zao lakini Putin hakusikia sasa wananchi wake ndio wanalipa price ya vita.
Kama haitoshi ilibidi apeleke raia wake vitani kwa nguvu alipwapa mikataba na wengine walikimbia kusikojulikana na wafungwa baada ya uhaba wa wanajeshi wake kuuliwa kama kuku, na kundi la Wagner group kiongozi wao ametangaza kujitoa Bakhmut mana hawana silaha kila siku wanauliwa zaidi ya 1000 na kuziweka maiti kwenye coffin majeneza na kurejesha maiti walikotoka.
habari za hapo Moscow mkuuUkishambulia russia km ilikuwa kwa siku makombora 30 utaongezewa inakuwa makombora 100 kwa siku mpk ujute
Lakini mpaka sasa Ukraine haijakanusha.Hizo ndio tabia za Putin, False Flag Operations, na kwa mtindo huo ndivyo alivyoanzisha vita pia.
Urusi isingependa kutangaza vita kamili.Ukishatangaza vita umeruhusu washirika wa Ukraine nao kuingia maxima kitu ambacho Putin naye anaogopa.Pia akitangaza vita maana yake Ukraine naye ruksa kurusha makombora Urusi.Kumbuka hadi Leo warusi wanaambiwa ni Operation wakati ni vita kamili ndani ya Ukraine.Kuna mawili,
1.Ukraine imekuwa desperate kuona Bakhmut inaanguka,kaamua liwalo naliwe.
2. Huenda ni inside job ya Urusi kuhalalisha kutangaza vita kamili.
Anyway,Kwa Putin ajifunze sasa,anacheka na kima sasa anavuna mabua.
Yaani uingereza au Marekani aingie vita ya moja Kwa moja na nuclear superpower?aisee umetoa boko sanaUrusi isingependa kutangaza vita kamili.Ukishatangaza vita umeruhusu washirika wa Ukraine nao kuingia maxima kitu ambacho Putin naye anaogopa.Pia akitangaza vita maana yake Ukraine naye ruksa kurusha makombora Urusi.Kumbuka hadi Leo warusi wanaambiwa ni Operation wakati ni vita kamili ndani ya Ukraine.