Urusi: Ukraine imejaribu kumuua Rais Putin kwa shambulizi la drone Ikulu ya Kremlin

Yaani uingereza au Marekani aingie vita ya moja Kwa moja na nuclear superpower?aisee umetoa boko sana
We mzee unajua unachosema au unaenda kwa mazoea.Nikukumbushe hadi Uturuki ni Military Base ya NATO na washirika wote Wanamiundo mbinu kwa ajili nuclear weapon.Vita sio maneno ni tactis.Urusi ana vitfaa lakini tactics ni zero kabisa
 
We mzee unajua unachosema au unaenda kwa mazoea.Nikukumbushe hadi Uturuki ni Military Base ya NATO na washirika wote Wanamiundo mbinu kwa ajili nuclear weapon.Vita sio maneno ni tactis.Urusi ana vitfaa lakini tactics ni zero kabisa
Unajuaje kwamba urusi anatactics zero?ebu tueleze mtaalamu wa vita kutoka buza? hakuna anayetaka vita vya nuclear Kwa Sababu hakuna mshindi kwahiyo marekani au uingereza hawezi kuthubutu kuingia vita na urusi.ebu jaribu kutumia Akili.
 
Majibu yake yatakuwa sio kawaida uenda Zerensik akalengwa ama kimbunga Cha makombora mazito.
Hizo Drones zilirushwa karibu na Ikuru Ina maana Kuna magaidi ndani Urusi.
Mungu awanusuru viumbe vyake Ukraine.
Tumeumbwa kuishi na kutawala Dunia hii na vilivyomo, vifo vya mapema sio mpango wa Mungu.
 
Ila wachambuzi wa Mambo wanasema Urusi imeratibu hilo shambulizi hili ifanye ijipigie maeneo nyeti ndani ya Ukraine.
Inaitwa False Flag Operation, Urusi imetumia huu mkakati kuanzisha uvamizi na bado inaendelea nao. Na huu ni udhihirisho kwamba huu ni uvamizi haramu.
 
Kikubwa ni kwa vile wamemlenga yeye Putin! Kweli ukraine wanaume
 
Drone moja kati ya mbili ndio iliangukia matenki ya mafuta eneo la kurasini ya Urusi kisha moto huo ukazimwa haraka kabla ya kuleta madhara makubwa.

Ila majibu yake ilikuwa moto kila kona ya kyiv na kufyeka wanamgambo wasiopungua 200 chap kwa haraka.
 
Nimekuelewa tu ukweli,leta habari kama ilivyo!
Vyombo vya habari vyote vimereport jaribio Hilo la drones lilikuwa intercepted,wewe unabadili habari Ili Iweje?
Au unaona ni sawa kulishana habari za uongo?
Mtu ana badili jinsia sembuse habari za Basha lililogoma kuchezea kinyesi.

Hao jamaa wako nje ya matakwa Yao.
 
Kama wameficha Ammunitions huko Kremlin basi zitafuatwa hukohuko ziliko make hakuna namna.
 
BREAKING: Russia's Medvedev calls for the 'elimination' of Ukraine's president Zelensky after Kremlin drone attack.
 
🇷🇺🇺🇦❗️From today, Vladimir Zelensky should be declared a terrorist, a blow is needed to convince the enemy that Russia has the opportunity to punish such actions to death, Oleg Morozov, deputy of the State Duma from United Russia, told RIA Novosti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…