Urusi-Ukraine ni jaribio la ukoloni mpya. Tanzania ipo kimya, kwanini?

Maslahi yapi anayoyalinda Mrussi huko Ukraine!? Hebu yataje?
 
Siyo kila jambo useme kitu alihali hata mchango wako hauna mashiko. Tuna matatizo mengi ya kujadili kuliko hiyo vita isiyotuhusu!
 
Ipo siku na wewe yakikukuta utaambiwa upambane na hali yako.
Kenya kashajibiwa huko watu wanakufa na Njaa nchini kwako ukafundishe watu vya kufanya Africa matatizo yapo tele huo muda wakuingilia ya watu unatoka wapi,tupo busy kujenga uchumi sisi wapambane na hali yao!
 
Unatoa kauli wakati hujui mshindi nani? Russia ni RAFIKI wa ukweli wa Afrika lakini ukimuunga mkono utakufa kwa njaa na serikali yako itaondoka madarakani! Kumkemea Russia nako pagumu maana Uchina atanuna japo ndio chaguo Bora. Kwa hiyo baada ya Russia kwelekea shimoni kiuchumi, Tz itoe tamko kulaani uvamizi wake! Kuishi kwa akili😂😂
 
Uchumi wa dunia uko interconnected na dunia ivyo huwezi shugulika na mambo yako wakati sehemu zingine za dunia haziko sawa,ni ujinga
 
Kenya kashajibiwa huko watu wanakufa na Njaa nchini kwako ukafundishe watu vya kufanya Africa matatizo yapo tele huo muda wakuingilia ya watu unatoka wapi,tupo busy kujenga uchumi sisi wapambane na hali yao!
Jibu hili linaweza kutolewa na mjinga tu,huwezi shugulikia uchumi wako bila kuathiriwa na yanayoendelea uko duniani...

Uchumi wa dunia ni interconnected everywhere!
 
Nadhani ameelewa sasa!

Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
 
Sasa Tanzania au tuseme Tanganyika watatoa wapi ujasiri wa kuisema Russia wakati wenyewe wameikalia Zanzibar kimabavu?

Wanachokifanya Russia kwa Ukraine ndo ambacho Tanganyika hukifanya Zanzibar kila mwaka wa Uchaguzi

So, fyata mkia wako!
 
Kenya kashajibiwa huko watu wanakufa na Njaa nchini kwako ukafundishe watu vya kufanya Africa matatizo yapo tele huo muda wakuingilia ya watu unatoka wapi,tupo busy kujenga uchumi sisi wapambane na hali yao!
Ile ni fake news.
 
Sasa Tanzania au tuseme Tanganyika watatoa wapi ujasiri wa kuisema Russia wakati wenyewe wameikalia Zanzibar kimabavu?

Wanachokifanya Russia kwa Ukraine ndo ambacho Tanganyika hukifanya Zanzibar kila mwaka wa Uchaguzi

So, fyata mkia wako!
Hakuna ukweli kwa ulichoandika. Wazenji wamejaa huku Bara na wanaishi vizuri sana mpaka baadhi ya watanganyika wanapiga kelele humu jukwaani.

Historia ya Russia na Ukraine ni tofauti sana na ile ya Bara na Visiwani.
 
💯 wambiye hawa mburula hawajui chochote tulipotoka na tunakoenda washabiki wa kwenye mitandaoni tu. Bahati mbaya shule siku hizi hawafundishi historia ya dunia ndo maana wengi vilaza hawajielewi kabisa.
 
Acha ujinga wako humu, sisi na urusi tuna ugomvi gani mpaka tuwashwewashwe??
 
Hakuna ukweli kwa ulichoandika. Wazenji wamejaa huku Bara na wanaishi vizuri sana mpaka baadhi ya watanganyika wanapiga kelele humu jukwaani.

Historia ya Russia na Ukraine ni tofauti sana na ile ya Bara na Visiwani.
Kwani Waukraine hawapo Russia? Fungua akili yako kutoka brainwash ya uccm...au Unyani kama alivyokuwa akiwaita Mtikila

Ukoloni ni ukoloni tu
 
Mmeambiwa shughulikieni maswala ya mtapiamlo nchini kwenu, achaneni na mambo msiyoyajua...
Mnataka kutikisa mbuyu, mtaishia kutikisa mikndu tu
 
Kwanza lile jibu la Kenya lilitagiwa kwa nchi zote za Africa. Pili kiongozi wa Afrika akienda nje wanamwita CHUMA ULETE.
 
Kwani Waukraine hawapo Russia? Fungua akili yako kutoka brainwash ya uccm...au Unyani kama alivyokuwa akiwaita Mtikila

Ukoloni ni ukoloni tu
Unyani unao wewe mkuu. Ukraine haipo Russia ni nchi inayojitegemea tangu miaka ya 1990 mwanzoni.

Anaoufanya Putin ni unyama na haswa dharau. Warusi wanawadharau wa-ukraine na wao wanajibu mapigo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…