rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Unaweza kukuta mtoa mada ni graduate wa chuo kikuu lakini hta uelewa wa kimataifa hana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maslahi yapi anayoyalinda Mrussi huko Ukraine!? Hebu yataje?Mleta mada kwa vyovyote siyo muelewa wa siasa za dunia.
Afrika mzima imetulia, siyo bure ila ni kwa makusudi kabisa.
Kumbuka NATO walipoivamia Libya hakuna mtu Ulaya aliyelaani badala yake walirusha na picha ya marehemu Ghaddafi bila hata staha.
Sasa kihistoria wewe kijana tambua kwamba kipindi nchi za kiafrika zinapigania uhuru, Urusi alikuwa nasi bega kwa bega kwa kutufundishia majeshi na kutupa silaha. Nadhani unawajuwa watawala wetu walikuwa kina nani.
Urusi aliamua kutusomeshea watu wetu ambao baadae walikuja kuongoza nchi zetu. Kumbuka wakoloni hawakutaka tuwe na elimu ili tuweze kujitawala.
Marekani na NATO wamevamia nchi nyingi, wameua viongozi wengi wa mataifa mengi hususani Afrika akiwemo Lumumba, Samora Mashel, usidhani Afrika imesahau msaada wa Urusi.
Kwa sasa Urusi analinda maslahi yake, wewe unamlaani kwa lipi wakati amechokozwa?
Kenya kashajibiwa huko watu wanakufa na Njaa nchini kwako ukafundishe watu vya kufanya Africa matatizo yapo tele huo muda wakuingilia ya watu unatoka wapi,tupo busy kujenga uchumi sisi wapambane na hali yao!
Uchumi wa dunia uko interconnected na dunia ivyo huwezi shugulika na mambo yako wakati sehemu zingine za dunia haziko sawa,ni ujingaMie naona shuari tuu kukaa kimya, tuna mambo mingi ya umasikini yametuzonga acha tudili na hayo kwanza kabla hatujaanza kurukia mambo tusio na uwezo nayo.
Au unataka tupeleke msaada Ukraine wakati watu hata mlo unatushinda kwa raia zetu ? After all hii conflict ina interest baina ya urusi na wamagharibi, wao ndio wanacho cha kugombania.
Jibu hili linaweza kutolewa na mjinga tu,huwezi shugulikia uchumi wako bila kuathiriwa na yanayoendelea uko duniani...Kenya kashajibiwa huko watu wanakufa na Njaa nchini kwako ukafundishe watu vya kufanya Africa matatizo yapo tele huo muda wakuingilia ya watu unatoka wapi,tupo busy kujenga uchumi sisi wapambane na hali yao!
Nadhani ameelewa sasa!Mleta mada kwa vyovyote siyo muelewa wa siasa za dunia.
Afrika mzima imetulia, siyo bure ila ni kwa makusudi kabisa.
Kumbuka NATO walipoivamia Libya hakuna mtu Ulaya aliyelaani badala yake walirusha na picha ya marehemu Ghaddafi bila hata staha.
Sasa kihistoria wewe kijana tambua kwamba kipindi nchi za kiafrika zinapigania uhuru, Urusi alikuwa nasi bega kwa bega kwa kutufundishia majeshi na kutupa silaha. Nadhani unawajuwa watawala wetu walikuwa kina nani.
Urusi aliamua kutusomeshea watu wetu ambao baadae walikuja kuongoza nchi zetu. Kumbuka wakoloni hawakutaka tuwe na elimu ili tuweze kujitawala.
Marekani na NATO wamevamia nchi nyingi, wameua viongozi wengi wa mataifa mengi hususani Afrika akiwemo Lumumba, Samora Mashel, usidhani Afrika imesahau msaada wa Urusi.
Kwa sasa Urusi analinda maslahi yake, wewe unamlaani kwa lipi wakati amechokozwa?
Sasa Tanzania au tuseme Tanganyika watatoa wapi ujasiri wa kuisema Russia wakati wenyewe wameikalia Zanzibar kimabavu?Uvamizi wa Ukraine pamoja na maelezo ya rais wa Urusi ni jaribio la kuanzisha ukoloni mpya. Nchi nyingi zinadai Urusi itoke tena katika nchi jirani na kulipia fidia.
Balozi wa Kenya alihotubia Umoja wa Mataifa akilaumu matendo ya Urusi. Tanzania ni kimya. Kwa nini?
Serikali haielewi ni nini kinachoendelea?
Serikali haijali kinachoendelea (kinyume na hotuba zote eti taifa linapinga ukoloni na kujivunia) ?
Serikali inaogopa kusema kitu kuhusu rafiki wa China?
Ile ni fake news.Kenya kashajibiwa huko watu wanakufa na Njaa nchini kwako ukafundishe watu vya kufanya Africa matatizo yapo tele huo muda wakuingilia ya watu unatoka wapi,tupo busy kujenga uchumi sisi wapambane na hali yao!
Hakuna ukweli kwa ulichoandika. Wazenji wamejaa huku Bara na wanaishi vizuri sana mpaka baadhi ya watanganyika wanapiga kelele humu jukwaani.Sasa Tanzania au tuseme Tanganyika watatoa wapi ujasiri wa kuisema Russia wakati wenyewe wameikalia Zanzibar kimabavu?
Wanachokifanya Russia kwa Ukraine ndo ambacho Tanganyika hukifanya Zanzibar kila mwaka wa Uchaguzi
So, fyata mkia wako!
💯 wambiye hawa mburula hawajui chochote tulipotoka na tunakoenda washabiki wa kwenye mitandaoni tu. Bahati mbaya shule siku hizi hawafundishi historia ya dunia ndo maana wengi vilaza hawajielewi kabisa.Mleta mada kwa vyovyote siyo muelewa wa siasa za dunia.
Afrika mzima imetulia, siyo bure ila ni kwa makusudi kabisa.
Kumbuka NATO walipoivamia Libya hakuna mtu Ulaya aliyelaani badala yake walirusha na picha ya marehemu Ghaddafi bila hata staha.
Sasa kihistoria wewe kijana tambua kwamba kipindi nchi za kiafrika zinapigania uhuru, Urusi alikuwa nasi bega kwa bega kwa kutufundishia majeshi na kutupa silaha. Nadhani unawajuwa watawala wetu walikuwa kina nani.
Urusi aliamua kutusomeshea watu wetu ambao baadae walikuja kuongoza nchi zetu. Kumbuka wakoloni hawakutaka tuwe na elimu ili tuweze kujitawala.
Marekani na NATO wamevamia nchi nyingi, wameua viongozi wengi wa mataifa mengi hususani Afrika akiwemo Lumumba, Samora Mashel, usidhani Afrika imesahau msaada wa Urusi.
Kwa sasa Urusi analinda maslahi yake, wewe unamlaani kwa lipi wakati amechokozwa?
Acha ujinga wako humu, sisi na urusi tuna ugomvi gani mpaka tuwashwewashwe??Uvamizi wa Ukraine pamoja na maelezo ya rais wa Urusi ni jaribio la kuanzisha ukoloni mpya. Nchi nyingi zinadai Urusi itoke tena katika nchi jirani na kulipia fidia.
Balozi wa Kenya alihotubia Umoja wa Mataifa akilaumu matendo ya Urusi. Tanzania ni kimya. Kwa nini?
Serikali haielewi ni nini kinachoendelea?
Serikali haijali kinachoendelea (kinyume na hotuba zote eti taifa linapinga ukoloni na kujivunia) ?
Serikali inaogopa kusema kitu kuhusu rafiki wa China?
Huyo mleta mada ni m.p.u...m.aa.v kabisa!!Mleta mada huna akili Tanzania tuko sahihi kbs halafu unatolea mfano wa Kenya wanafiki wale hovyo kbs
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kwani Waukraine hawapo Russia? Fungua akili yako kutoka brainwash ya uccm...au Unyani kama alivyokuwa akiwaita MtikilaHakuna ukweli kwa ulichoandika. Wazenji wamejaa huku Bara na wanaishi vizuri sana mpaka baadhi ya watanganyika wanapiga kelele humu jukwaani.
Historia ya Russia na Ukraine ni tofauti sana na ile ya Bara na Visiwani.
Unyani unao wewe mkuu. Ukraine haipo Russia ni nchi inayojitegemea tangu miaka ya 1990 mwanzoni.Kwani Waukraine hawapo Russia? Fungua akili yako kutoka brainwash ya uccm...au Unyani kama alivyokuwa akiwaita Mtikila
Ukoloni ni ukoloni tu